AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,334
- 3,304
Sikuizi kampuni nyingi zipo na ubora mkubwa tena mno kilichobakia kutugawanya ni brand na mahaba tu na sio ubora (apple,sony,oraimo,boss,jbl,samsung wote wapo poa kwenye sound hasa ukupata simu na pods zake)