Wireless earphones zenye bass.

Wireless earphones zenye bass.

Tatizo zile za kudumbukiza sana masikioni yaani sionagi kama ni nzuri upande wangu.

Sema nn, umasikini tu. Siku niliosikiliza muziki kwenye Airpods Pro za Apple, ndio nilijua kwann Apple wanaziuza Laki 5.
Honesty umasikini unatuweka mbali na vitu vizuri Sana, mm napenda za kutumbukiza naona kama Nakuwa comfortable ,
Ila earbuds zipo hadi za Milioni kadhaa
 
Mimi binafsi nilikua napenda sana Oraimo kwa ajili ni low budget gadgets ambazo zinakupa muziki mzuri, ila katika kutafuta nikapa Raino aisee hiyo ni balaaa, ina muziki mzuri na bei yake ni chini ya 20k. Naona ni toleo jipya linatafuta kupenya ktk soko. Mziki bass lakitosha na ni clasissic hadi raha.
 
Tusisitize tu kwa pesa yako ambayo umetaja ni pesa mingi sana oraimo s mbaya ila huez linganisha na anker nasisitiza hilo mara elfu kumi uchukue tu wired earphone za jbl sasa ila sio oraimo, kama unakubali kupokea mabadiliko ukahamia headphone tu, hii ni picha ya nitumiayo mie ni unyama sana.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-21-23-02-07-858_com.oceanwing.soundcore.jpg
    Screenshot_2025-05-21-23-02-07-858_com.oceanwing.soundcore.jpg
    99.4 KB · Views: 26
Sina utaalam sana wa Audio mkuu ila kwa hio budget tafuta Brand za kati kama oneplus, realme, nothing etc kwenye brand zao za bei rahisi, kama ni Nothing tafuta CMF buds, Oneplus Nord buds etc.

Nord earbuds 3

Chini ya 70,000 Aliexpress.
Yes akipata CMF buds 2,au OnePlus buds4 hakika atakua amelamba mali,sema budget yake tatizo
Nina buds 4 hapa ina kasheshe kuanzia ANC yake ni very outstanding,pia ina transparency mode ya kiwango, battery life nzuri kabisa,inakuja na Base wave feature inafanya uskie base ya maana kabisa incase ume turn on,pia ina in ear detection sensor
Pia ni HIRES ,kwa wenye OnePlus phone wataenjoy codec yao jamaa

OnePlus kiukweli wameua sana kweny buds 4
 

Attachments

  • IMG_20260128_183739_400.jpg
    IMG_20260128_183739_400.jpg
    102.2 KB · Views: 9
Hizo kwenye picha Anker Soundcore 50i uchafu tu. Anker kali ni Liberty 4 ambazo ni 180+
Liberty 4 mashine,tatizo budget 😂
Ulivyo taja liberty 4 nikajua ww buds unazijua

Pia kuna CMF buds 2 , OnePlus buds 4,kama hana hela ate least earfun air pro 4 japo still hawez pata kwa laki
 
Tatizo zile za kudumbukiza sana masikioni yaani sionagi kama ni nzuri upande wangu.

Sema nn, umasikini tu. Siku niliosikiliza muziki kwenye Airpods Pro za Apple, ndio nilijua kwann Apple wanaziuza Laki 5.
Mzungu hanaga kazi mbovu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom