Naomba ushauri wa Headphones nzuri kwa Dar

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,969
3,320
Wataalam wa jf salaamz.

Huwa naishukuru kwanza jf na wadau wake kwa kunipa mwongozo kuhusu kada ya tech za kijanja.

Leo naomba kujua headphones nzuri wired ni zipi na wapi kwa bajet chin ya laki Dar? Napenda zaid in-earphones. Ziwe simple lakin mziki mkubwa uliochuja na bass.
 
Wataalam wa jf salaamz. Huwa naishukuru kwanza jf na wadau wake kwa kunipa mwongozo kuhusu kada ya tech za kijanja.
Leo naomba kujua headphones nzur wired ni zipi na wap kwa bajet chin ya lak dar? Napenda zaid in-earphones. Ziwe simple lakin mziki mkubwa uliochuja na bass.
Kwa mpya ms meghji mjini unapata 70k entry level logitech, ila kiujumla zile headphone za dola 10 huko ughaibuni ndio tunauziwa laki hapa Bongo.

Pia kama upo tayari kununua Mtumba kuna jamaa anauza turtle beach nilinunua Around 30k ni Headphone nzuri. Agreyy na msimbazi kama unaenda likoma jengo kama la 3 ndani ulizia mama mwarabu anaeuza mitumba ya tech.
 
Back
Top Bottom