Wireless earphones zenye bass.

Wireless earphones zenye bass.

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.
Screenshot_20250515_123214_Facebook.jpg
 
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.
Watafute ANKER, POWEROLOGY na JBL utanishukuru baadae

ingia insta search phonepoint dar, techzone na tech360 wanazo hizo
 
Sina utaalam sana wa Audio mkuu ila kwa hio budget tafuta Brand za kati kama oneplus, realme, nothing etc kwenye brand zao za bei rahisi, kama ni Nothing tafuta CMF buds, Oneplus Nord buds etc.

Nord earbuds 3

Chini ya 70,000 Aliexpress.
 
Sio rahisi kupata brands hizo kwa bajeti aliyo nayo.
Sure, na mimi nilitaka kumwonesha mziki mzuri pia ni gharama. Kama yeye nae ni mlevi wa music mzuri kama mimi, ataongeza pesa/bajeti or kama anataka bora music, zipo headphones hata za 50k, 40k 0r even 25k. Achague mwenyewe, mziki wa 250k or 500k.
 
unajifanya mjuaji kumbe fala.

mwenzako amesha-specify kabisa bajeti yake ni 100k, halafu wewe unaleta habari za 500k
 
unajifanya mjuaji kumbe fala.

mwenzako amesha-speficy kabisa bajeti yake ni 100k, halafu wewe unaleta habari za 500k
Watu mna hasira sijui za maisha au sijui kitu gani! Sasa ungekua muungwana si ungekuja na options badala ya matusi? Jadiri HOJA, sio MTOA hoja. Ungefatilia walau mtiririko wa mazungumzo nilianzia wapi; Good day my brother.
 
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508
Kuna UZI humu unahusu hizi wireless headphones tena wadau wamechambua kweli brands nyingi, unaweza kuusaka ni wa miaka kadhaa nyuma naona umepoa kidogo, ila ukipata muda ukaupitia utatoka na maarifa na chaguo sahihi... Nikiupata nakupa link..
 
Kwa kuanzia tu hio brand alioweka kama mfano, asake product zake hatojutia ni nzuri sana . NAMAANISHA ANKER, ALAFU NAWE KIJANA UNANITENGA MNO.
 
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508
Kaa humu pia hutojutia agiza tu hapo aliexpress
 
Attachments

  • Screenshot_2025-05-20-17-34-50-090_com.alibaba.aliexpresshd-edit.jpg
    Screenshot_2025-05-20-17-34-50-090_com.alibaba.aliexpresshd-edit.jpg
    384.5 KB · Views: 34
Kwa kuanzia tu hio brand alioweka kama mfano, asake product zake hatojutia ni nzuri sana . NAMAANISHA ANKER, ALAFU NAWE KIJANA UNANITENGA MNO.
Anker wapo vizuri, hata power banks zao nzuri sana...
 
Kwa bajeti hiyo chukua oraimo wanazo wanauza elfu 95 ni Kali sana
 
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire.
Location: dar
Bajet 100k.
Brand nzuri.
Muundo mzuri.
Charge ndefu.
Picha ya mfano wa muundo ninayotafta
Shukran.View attachment 3334508
Hizo kwenye picha Anker Soundcore 50i uchafu tu. Anker kali ni Liberty 4 ambazo ni 180+
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom