Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini.
Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point.
Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi umbali mrefu na kupenya hadi ndani ya majengo ya ghorofa
Mfano. Niifunge moja jengo la mbele au eneo la wazi iweze kutoa wireless eneo lote had vyumba vya ndani ya jengo la ghorofa tatu.
Asanteni karibuni kwa michango 🙏