Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
NDugu wana jamii naombeni msaada jins ya kutumia headphone ambazo ni wireles ,je ntazikonect vp na simu yangu ambayo ni tecno 605 Ili niweze sikiliza redio na muzk pia
Washa headset bluetooth then nenda ktk cm yako,kwenye music nenda option then play via BT
Washa headset bluetooth then nenda ktk cm yako,kwenye music nenda option then play via BT
kila nikifanya hvyo npksearch haisom au ina kuwa selektve ndugu yangu yani pengne zna bagua kaKa