ngoja, ntarudi badae kidogo.
na jinsi mijimama inavyotongoza vijana hapa JF
ningoje twende wote.......
hivi umeona hii.....khaaaa........
Kumbe Preta ni jimama... Naona pilikapilika zake hapa jamvini.
umeona eeh....
...hahahhahahaha..hebu nigusie kidogo. KibunangoUkweli upo....
...haya kaka..nitamchek..maana nilimuacha maeneo fulani hivi nampitia baadae..Jaribu kumcheki Preta... 🙂 ana majibu yote.