ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Naomba mwenye winrar nisaidiwe nina shda nayo wakuu
Ninahitaj kuzip file nimtumie mtu hiyo itaweza? Kama inaweza naomba link yake niipakueWinRAR inalipiwa, kwanini usitumie 7-Zip ambayo ni bure.
Naomba link niipate hiyo 7-zip mkuu7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa.
Kasoro 7zip haitengenezi Rar files ila inaweza kufungua.7-ZIP inafanya kazi zote za WinRAR haina shida. Ni bure kabisa.