Wapo wababa handsome "wanajizaa wenyewe". Hujaona korosho zinavyofanana?Bahati mbaya nimefanana na babangu
Kila mmoja kuna anavyovutiwa.
Wapo wababa handsome "wanajizaa wenyewe". Hujaona korosho zinavyofanana?Bahati mbaya nimefanana na babangu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Wapo wababa handsome "wanajizaa wenyewe". Hujaona korosho zinavyofanana?
Kila mmoja kuna anavyovutiwa.
Mkwpa Kodi mbona tunafanana mawazo mkuu?Kwani wababa wote tuna sura mbaya, wapo wababa wana sura nzuri kuzidi wamama
Vipi ile bilioni 50 ililetwa kweli? Watu washamaliziwa kulipwa?maana sie huku kimazichana ni kama bado ngoma 0-0 koroshoSawa,hongera Kwa kuwa Dar Sie tupo Tandahimba huku
Nimevutiwa na jinsi viatu vilivyofiti barabara.Kwanini sasa
Hahahaah sawaNimevutiwa na jinsi viatu vilivyofiti barabara.
Hiyo ni ishara ya baraka.....Hata pande hizi za usukuman kuna wingu na tumanyunyu kwa mbaaaaaaliWakuu habari za pasaka, naona kuna wingu kubwa la mvua hapa Dar, naomba tupeane habari ya kitakachokea hapa kwenye uzi huu, pasaka njema