Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,700
- 8,292
Amekupa jibu zuri kama ulivyolitaka. Wewe mwenyewe umekuinua Dar ukampa hongera ya kuwa dar,maanake ukakudharau tandahimba. Ndio maana amekupa pole,ksbb wewe uko sehemu usiyoupenda,unatamani kuwa darKwani kuwa huku ni ugonjwa mkuu?