Mi Sijui mwenyewe nasubiri jibuMkuu kwani kuwa Dar ni mafanikio?
kuna pilau la pasaka na mimi nije?Nifate hapa dangote chaapu
Ahahahahah pilau wakati vyuma vimekazakuna pilau la pasaka na mimi nije?
Aliyekwambia kakudanganya!Hata Mwanza huko naambiwa kuna wingu zito
Mkuu kwani kuwa Dar ni ujanja?
Hahahahahahah
Mkuu soma vizuri utaelewa yeye kaniambia kuwa hongera kwa kuwa Dar, mimi nikamjibu pole kwa kuwa tandahimba sasa tatizo lipo wapiMi Sijui mwenyewe nasubiri jibu
Shkamoo na weweShkamoo kabint kabichi zesh!!
Ni kweli kabisa watu Leo tumeamka saa tano huku .....ni neema tuMtwara municipal nasikia toka Amefufuka bwana YESU ni kunyesha tuu
Habari njema izi
Shida yake kwanini umempa poleMkuu soma vizuri utaelewa yeye kaniambia kuwa hongera kwa kuwa Dar, mimi nikamjibu pole kwa kuwa tandahimba sasa tatizo lipo wapi
Aliyekwambia kakudanganya!
[/QUOTE
Mwanza kubwa mkuu
Kwani hapa Dar hakuna vijiji mkuu, hata hapa kuna nyumba za makuti na udongoKwani ungejuwa Kolomije ungetoa taarifa ya hali ya hewa mkuu?
hahah hamjalipwa za koroshow.kwa hiyo tutaufinya wapiAhahahahah pilau wakati vyuma vimekaza
Yeye kwa nini kanipa hongera tuanzie hapo kwanzaShida yake kwanini umempa pole
Shkamoo na wewe
Kwani hapa Dar hakuna vijiji mkuu, hata hapa kuna nyumba za makuti na udongo