Habari za Pasaka.Nifate hapa dangote chaapu
Ya kwangu ndioHabari za Pasaka.
Samahani nikuuluze mkuu, hiyo miguu kwenye avatar NI YAKO?
Nzega inanyesha muda huuWakuu habari za pasaka, naona kuna wingu kubwa la mvua hapa Dar, naomba tupeane habari ya kitakachokea hapa kwenye uzi huu, pasaka njema
Hahahahaha ameona miguu tu je akiiona sura yako si ndiyo ataomba uchumba kabisaYa kwangu ndio
Bahati mbaya nimefanana na babanguHahahahaha ameona miguu tu je akiiona sura yako si ndiyo ataomba uchumba kabisa
Anawapa pole serengeti boysKwani mkuu wa mkoa anasemaje?
Kwani wababa wote tuna sura mbaya, wapo wababa wana sura nzuri kuzidi wamamaBahati mbaya nimefanana na babangu
HahahahahahaaKwani wababa wote tuna sura mbaya, wapo wababa wana sura nzuri kuzidi wamama
Buza CCM hapa muvi ndio inaanza(Manyunyu)Huku mbagala imeanza kunyesha mkuu, labda tusibiri kama italeta madhara ndiyo tutapeana updates
Nyie ndio wanawake mnaowapigaga wanaume zenu nyieBahati mbaya nimefanana na babangu
Wala hujakosea hahahahahNyie ndio wanawake mnaowapigaga wanaume zenu nyie
Lengo limetimia.Ya kwangu ndio
Mkuu hapa tunapeana habari tuHii ni habari ama?
Huu si ni msimu wa mvua za masika Tanzania...!!!
Sawa.Ya kwangu ndio
Window shopping mzee pia inafaa.Hahahahaha ameona miguu tu je akiiona sura yako si ndiyo ataomba uchumba kabisa
Kwanini sasaSawa.
Nimesukumizwa tu kuuliza swali. Ila dunia hii haiko fair kwa kweli.