Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

Kwa kweli umeongea kwa uchungu mwenye masikio na asikie
 

Acha kumsifia jamaa! Ng'ombe gani mwenye akili fupi namna hiyo??
 
Magari amekabizi 399 nadhani kwa mujibu wa news
 

The timing is definitely suspect.

And like I said earlier, it comes off as an intimidation tactic.

I don't think for one second that it [the timing] was an accident. I believe it was by design.

That is why I fully understand when people look at the whole thing with a skewed eye.

Now, they may very well be in need of all those vehicles and other equipment necessary to do their work effectively.

But the timing is one of those things that make you go hmmm.....!!!

Personally I don't think our police are there to 'serve and protect' but rather are pawns in an effort to 'suppress and control'.
 

Watz bwana hawaishiwi vimbwanga. Na hii ni ufinyu wa elimu ktk vichwa vyetu. Siku ikitokea jeshi la polisi wameshindwa kufanya kazi kwasababu ya ukosefu wa vitendea kazi utakuwa wa kwanza kuilaumu serikali leo wamejitahidi kununua hivyo vitendea kazi mnalaumu. Nyie ndio watanzania tunaowategemea kuleta mabadiliko!!!!!!!
 
nimemkumbuka Rev Masanilo huyu jamaa majibu yake kwa Magamba yalikuwa yananikosha sana,ivi yuko wapi siku izi!!
 
Mkuu jamii01


Kwa akili za Kushikiwa mtu hawezi liona hili. OLESAIDIMU Akili yake Kashikiwa na Watu
Hawezi kuliona hili

Amani kwanza hata hao wanaozalia chini wanataka amani wakati wa kujifungua, wakirudi nyumbani na watoto wao wanataka mazingira salama, watoto hao wakienda shule wanahitaji utulivu. . . .

Kama yamenunuliwa nje ya bajeti sawa ila kama yamenunuliwa ndani ya bajeti iliyopitishwa na bunge huna hoja
 
Last edited by a moderator:
Hakuna amani itayokavunjika, kuna watu wapo kuombea taifa usiku na mchana.
 
Kama huna la kuchangia ni bora ukae kimya kuliko kumwaga uharo hapa!

Amani, amani, amani. . . .Mkuranga unakumbuka??!!! Misugusugu??!! Shinyanga??!! Staki Shari??!!

Rapid Response Units bila gari utawabeba mgongoni kwako??!!!
Wewe na mkeo mnaweza beba askari wangapi wa RRU???!!

Nyambaf kabsaaaaa
 



AHSANTE KWA MKEKA GO FOR PhD by Dissertation.
 
Watanzania sijui tumekuwaje kila kitu kikifanyika lazima kikosolewe na kuwekwa sura ya kisiasa,masuala haya ya ulinzi na Usalama ni muhimu bila ya kujali chama chochote,polisi kupewa vitendea kazi sidhani kama ni jambo la ajabu maana wao ndiyo wenye dhamana hiyo na wala si kwa ajili ya kuegemea upande wowote.Siasa imewafanya watu kujiondoa ufahamu mifano ipo mingi mno,mtu anajeruhi watu anakamatwa na kufikishwa polisi ili sheria ichukue mkondo wake,mgombea bila aibu anakusanya watu na kuanzisha Maandamano eti kwenda polisi kumtoa mtuhumiwa kwa nguvu,polisi wanatumia mbinu zao wanamkamata muhusika na wapambe anafikishwa mahakamani,akitoka huko anaanda Press Conference na kulaumu vyombo vya dola kuwa vimembambikizia kesi,ki vipi?,waandishi hata hawahoji maswali kujua sababu za yeye kukamatwa ni zipi,jee iwapo anajua maana ya utawala wa sheria,jee sheria zinasemaje once akitenda kosa la Jinai utaratibu uliopo.Piga kura yako nenda kafanye shughuli zako halafu uone kama kuna polisi atakuja kukufuata kwako na kukukamata,Akili za kuambiwa changanya na zako,kule ndani kuna Wakala wa Chama,kinachokufanya ushinde nje kutwa nzima ni nini,hao wanaokuambia linda kura wako majumbani kwao na familia zao Watch out.
 
Me I think,there is nothing to worry about-Kikwete anajua fika kwamba eyes and ears of the world are focusing on Tanzania-a slight miscalculation on his part and ICC will beep him-sioni kama ana guts za kuishia The Hague-hapa ndio watanznia tumebahatika
 

You can't be serious!

I mean, you want to tell me the whole thing happening this close to the election is not a calculated move?

You think it's just a mere coincidence?

And the looks of it don't bother you one bit?

Wow...just wow!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…