Wingi Wabunge wa Zanzibar wana umuhimu gani Bunge la Muungano

Kwa nini nyinyi munaohisi kuwa Zanzibar inapendelewa katika hii ndoa ya Muungano kila wakati munatoa hoja ya idadi ya watu. Kumbukeni kuwa huu Muungano ambao ndio una matokeo mengi ( likiwemo hili la kugawa majimbo ya uchaguzi) ni makubaliano ya zilizokuwa nchi mbili Tanganyika + Zanzibar na sio wingi wa watu kama ni hivyo hamuoni kuwa hakuna haja ya watu milioni 40 kuungana na watu milioni 1. Acheni chokochoko kama unatoa hoja toa kwa kutumia vigezo kamili na ukumbuke kabla ya kufanya haya Zanzibar ilikuwa nchi na Serikali yake. Hakuna thamani ya hilo na tumekubali kuungana na kupoteza vyote hivyo. Jee wachina waombe viti vingapi? huko UN ikilinganishwa na Comoro.
 
Haingii akilini, uwiano wa idadi ya watu na wabunge hao, lakini mkumbuke kuwa wazanzibari walio wengi hawataki (mfumo huu wa muungano), kwa hiyo haya ni matokeo ya udikteta wa Chaka Chua Mapema.
 
Mtabe,

..uki-search kwenye mtandao kuhusu uanachama wa Tanganyika na ule Zanzibar ktk UN bila shaka utakutana na kipande hiki nilichokuwekea hapa chini.




..tembelea website hii inayoendeshwa na UN na utakutana na habari nyingi sana zinazohusiana na UN, na specifically wanachama wake.

.. "bonyeza hapa kutembelea website"

NB:

..nadhani John Malecelea ndiye balozi wa kwanza wa Tanzania[Tanganyika & Zanzibar] umoja wa mataifa UN.
 

nadhani umelisahau neno muungano,hebu pitia miungano yooote duniani kisha angalia wanapogawana wenaangalia wingi wa watu au wanangalia haki ya usawa kwa kila upande?nadhani jaribu kusoma kisha ndio uje utoe upuuzi wako hapa,katafute neno muungano kisha uweke upuuzi wako,ni haki yao wazanzibar madhali tumekubali kuungana nao kwa faida yetu wabara maana km kudai nchi yao washadai sana lkn tumewang'ang'ania tu kwa kuwa kuna siri kubwa wewe huijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…