Wingi Wabunge wa Zanzibar wana umuhimu gani Bunge la Muungano

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
Jamani nauiliza hivi hawa wabunge wa Zanzibar 50+ wa kuchaguliwa na 20+ viti maalumu making a total of 70+ kwenye bunge la jamuhuri lenye wabunge 329 mbona wengi sana na sioni impact yao? Wanakula ruzuku za bure nadhani mbali na kupunguza idadi ya mawaziri tungefikiria kupunguza idadi ya wabunge na hasa wa Zanzibar ambayo unakuta kwa kila watu elfu wana mbunge mmoja?
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
0
starting point ni kuimarisha ama kuvunja muungano. lolote likitokea litawapunguza idadi yao. kupanga ni kuchagua na kama taifa kupitia wawakilishi wetu tulichagua hilo pia
 
Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
225
jamani nauiliza hivi hawa wabunge wa zanzibar 50+ wa kuchaguliwa na 20+ viti maalumu making a total of 70+ kwenye bunge la jamuhuri lenye wabunge 329 mbona wengi sana na sioni impact yao? Wanakula ruzuku za bure nadhani mbali na kupunguza idadi ya mawaziri tungefikiria kupunguza idada ya wabunge na hasa wa zanzibar ambayo unakuta kwa kila watu elfu wana mbunge mmoja?

hata kama ni mbinu ya kuilinda nchi yetu zanzibar sasa hivi ni parasite they are not deserving that large portion in our parliament! They are reaping without sowing! Watu milioni moja katika nchi ya watu milioni 40 + come on wake up tanganyikas!
 
Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
225
starting point ni kuimarisha ama kuvunja muungano. lolote likitokea litawapunguza idadi yao. kupanga ni kuchagua na kama taifa kupitia wawakilishi wetu tulichagua hilo pia

hoja yako hapa ni nini jieleze vizuri ueleweke mheshimiwa!
 
Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,470
1,225
Yaani kwa ratio ya watu milioni 1 kuwa na wabunge 70+ basi kwa watu milioni 40 tungetakiwa kuwa na wabunge 40x70 = 2800 which is very unrealistic...na kwa kule Zenji unakuta kila mtaa ni jimbo yaani kwa huku Dar, Sinza ni mkoa wenye majimbo kama Palestina, Makaburini, Mugabe, Kwa Remmy, Africa Sana n.k
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
0
hoja yako hapa ni nini jieleze vizuri ueleweke mheshimiwa!

tukiimarisha muungano, tutajenga kuaminiana na hata wakiwa achache hawatakuwa na hofu ya kumezwa, tukivunja muungano hatutakuwa nao kabisa. sasa yote mawili yanategemeana na maamuzi yetu na hivyo kutegemea uchaguzi wetu kwani kupanga ni kuchagua. kama taifa tulichagua iwe hivi ilivyo sasa na kuingiza kwenye katiba. ni harakati kama za majirani zetu kenya za kudai mabadiliko ya katiba ndizo zinazoweza kuondoa tatizo hili kama zitafnikiwa
 
Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
0
Yaani kwa ratio ya watu milioni 1 kuwa na wabunge 70+ basi kwa watu milioni 40 tungetakiwa kuwa na wabunge 40x70 = 2800 which is very unrealistic...na kwa kule Zenji unakuta kila mtaa ni jimbo yaani kwa huku Dar, Sinza ni mkoa wenye majimbo kama Palestina, Makaburini, Mugabe, Kwa Remmy, Africa Sana n.k

unajua mheshimiwa, muungano ni kama mti. ulipooteshwa ulitakiwa kunyweshwa maji ukue na kuzaa matunda. lakini baada ya kifo cha sheikh karume na baadaye kustaafu kwa mwal nyerere, muungano haukuweza kupata maji uliyostahi kwa hiyo sasa umedumaa. haya mambo yalitakiwa kuwa ya muda tu (transition) na baadaye yangewekewa vizuri zaidi. sasa hakuna tena mwenye ujasiri na weledi wa kufanya haya
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,994
2,000
rais wangu JK.. naomba tu afumbe macho achukuwe ila ahadi ya slaa kuhusu muungano.. mazungumzo ya muungano yaanze upya! mnahabari kwamba wakijitenga basi kitakachofuatia ni unguja kujitenga na pemba..?? chokochoko zilishaanza ila zimezimika baada ya wapemba kukamata madaraka! seif & shein
 
Misterdennis

JF-Expert Member
Jun 4, 2007
1,751
1,500
hata kama ni mbinu ya kuilinda nchi yetu zanzibar sasa hivi ni parasite they are not deserving that large portion in our parliament! They are reaping without sowing! Watu milioni moja katika nchi ya watu milioni 40 + come on wake up tanganyikas!

Tunailinda against what kupitia znz??
Wabunge sabini (70) !!! Pheew!!! Hebu piga hesabu, wanakula jasho la wananchi kiasi gani kwa mwezi, kwa mwaka na kwa miaka mitano!! na bado ile golden handshake wanayopata baada ya kumaliza miaka mitano. Na kama ulivyosema impact yao ni sifuri ktk kuchangia ktk maendeleo ya nchi hii. Hii ni mirija ya kukatwa, hawana faida yoyote na hawatusaidii chochote na muungano hauna faida yoyote kwetu isipokuwa kwao.
 
mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
0
Wazenj wanafaidi kodi zetu bila tija yoyote,kwanza wanajíita nchi,tukate hii mirija watoto wetu wasome bure
 
Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
0
Na kile kiti chao wazenji kule UN kinachotumika kwa jina tanzania itakuaje tukikata muungano? Kwakua sisi watanganyika hatukuwahi kua na kiti UN na ndio maana hata utanganyika wetu hatuutaki tunapenda utanzanzania tafauti na wazenji wao hawapendi utanzania wanapenda uzanzibari.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
rais wangu JK.. naomba tu afumbe macho achukuwe ila ahadi ya slaa kuhusu muungano.. mazungumzo ya muungano yaanze upya! mnahabari kwamba wakijitenga basi kitakachofuatia ni unguja kujitenga na pemba..?? chokochoko zilishaanza ila zimezimika baada ya wapemba kukamata madaraka! seif & shein
Who cares.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,532
2,000
Inasaidia kuongeza nguvu kwa upande wa ccm manake kuwatofautisha ni ngumu achana na wanapokaa bungeni!
 
walonge

Member
Aug 1, 2010
25
20
jamani nauiliza hivi hawa wabunge wa zanzibar 50+ wa kuchaguliwa na 20+ viti maalumu making a total of 70+ kwenye bunge la jamuhuri lenye wabunge 329 mbona wengi sana na sioni impact yao? Wanakula ruzuku za bure nadhani mbali na kupunguza idadi ya mawaziri tungefikiria kupunguza idadi ya wabunge na hasa wa zanzibar ambayo unakuta kwa kila watu elfu wana mbunge mmoja?

sio siri hata mie haiingii akilini. Dar yenye watu zaidi ya milioni saba ina wabunge wasiozidi 10 iwaje zenji mathalani unguja pekee iizidi dar kwa idadi? Hapana imefika mahali tuseme hapana imetosha!!!!!!1
 
walonge

Member
Aug 1, 2010
25
20
sio siri hata mie haiingii akilini. Dar yenye watu zaidi ya milioni saba ina wabunge wasiozidi 10 iwaje zenji mathalani unguja pekee iizidi dar kwa idadi? Hapana imefika mahali tuseme hapana imetosha!!!!!!1
 
BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,852
1,250
sio siri hata mie haiingii akilini. Dar yenye watu zaidi ya milioni saba ina wabunge wasiozidi 10 iwaje zenji mathalani unguja pekee iizidi dar kwa idadi? Hapana imefika mahali tuseme hapana imetosha!!!!!!1
Tatitizo lako unalinganisha NCHI na MKOA, Zanzibar ni nchi wakati Deraslaam ni mkoa, hivyo ni vitu tofauti kabisaa si sahihi kuvinganisha.
 
mshali

Member
Oct 25, 2010
9
0
Faida ya muungono ipo upande mmoja wa zanzibar.mimi sioni tanganyika inafaidika na nini labda mwenye kujua nini tunapata anijuze,natamani kuona hata leo hii muungano umekufa.
 
jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
95
Je madiwani na wenyeviti wamitaa wana idadi gani maana kwa hesabu hiyo naona kila kaya itakuwa na mwenyekiti wake wa mtaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom