Ni mgeni katika winform programming. Nahitaji ku style winform Treeview kwa kuweka custom image badala ya +/- kwenye root nodes, na child nodes. pia kuwe na background color kwa kila node na border,ningependa kila root node iwe kama ki block/rectangle shape hivi....kwa ufupi nahitaji ufundi wa ku style TreeView.
Kama kuna anayejua free componet ambayo nawezakuitumia anipatie. Thanks sana.
Kama kuna anayejua free componet ambayo nawezakuitumia anipatie. Thanks sana.