Windows phone zimeendelea kufa kifo cha mende mbele ya Android na iPhone

Windows phone zimeendelea kufa kifo cha mende mbele ya Android na iPhone

Kip bora niende Nokia 6 au ni weit surface surface pro5 itaweza cost bei gani ? Wanaposema kava ya Nokia 6 ni metallic sijui Nini? Wanamaamisha kava ngumu Kama za iPhone au
surface pro 5 ni tablet mkuu sio simu, kwenye uzinduzi wake ndio tutapata information zaidi za windows na sio kwamba wanazindua simu

Nokia 6 ni ngumu kushinda hata iphone, imetengenezwa na alluminium, zipo simu nyingi tu za alluminium
 
Hapana! Haimaanishi kwamba Microsoft wameshindwa, ukiangalia kwa ukaribu hivi karibuni Satya Nadela na wenzie wamejikita sana kwenye utafiti na uendelezaji(R&D) na siyo kukurupuka na kutoa simu mpya zisizo na chochote kipya. Wakati huohuo Microsoft inafanya kazi kwa ukaribu na watengenezaji wengine kama HP (HP Elite WP) kujaribu kufunga gap lilokuwepo kwa upande wa performance na matumizi kati ya desktop/laptop na smartphones ndiyo maana unaona kwa sasa unaweza ku-dock simu ya Windows kwenye monitor na ukafanya kazi zako za PC kama kawaida.
Wengi hawaielewi Microsoft kwa sasa, focus kubwa kwa Microsoft kwa sasa ni innovation na siyo imitation angalia bidhaa zao mpya kama Surface Studio kwa ajili ya creative professionals, angalia Microsoft SurfaceBook, bila kusahau Holo Lens concept zote hizi zimekuja kuleta tofauti kwenye computing industry na kuonyesha njia kwa watengenezaji wengine.
Hivyo basi kwa wale fans wa mobile computing mwaka 2016 umebadilisha mengi sana na mwaka 2017 utakua zaidi na kama alivyosema CHIEF MKWAWA Surface phone inakuja, na haitakua ya kawaida, inakuja kuleta tofauti na mwelekeo mpya kwa Windows OS.
Satya amenukuliwa akisema kuwa lilikuwa. ni kosa kuachana na windows phone.
 
Back
Top Bottom