Inanikomandi mkuu niwe na wifi nielekeze de way nitaweza tengeneza wifi kupitia simu zangu mbili ili niweze fanya hiyo makituUmesoma original post katika huu uzi.? Nini hujakielewa.? Maana hili swali lako limejibiwa humo.
Mimi pia natumia Lumia 640 LTE, lakini kwa upande wangu nipo kwenye Insiders so Nime-configure simu kupokea Windows 10m Preview updates kama "Fast ring". Kwa sasa nipo kwenye build 14905.1000, ambayo ndiyo build inayoenda kwa codename "Redstone 2". Ninachokipenda zaidi ni kuwa mimi nakuwa wa kwanza kujaribu features mpya before hazijaanza kuwekwa kwenye Production ring. Apps zilizopo kwenye Windows 10 zinavutia sana hasa hasa Store na Groove Music ambayo ndiyo music player bora zaidi kwa sasa. Sidhani kama kuna music player iliyo simple na bado ika-deliver kwenye ubora na ufanisi. Kwa insiders waliopo kwenye Fast ring wana kutana na vikwazo kama matumizi mabovu ya battery, na crashes. Windows phone nyingi ni nzuri sana, hasa kama unapenda music, zina sound quality nzuri sana, ni rahisi sana kutumia. Na kama umeupdate kwenda Windows 10 utagundua kiasi gani Microsoft wamefanya kazi nzuri sana kwa kipindi hiki.
Mkuu huu uzi ni mzuri sana kwa sisi tunaotumia hizo sim lakin niombe tu muwe mnasaidia ikiwemo na kutuwekea link tusiojua kupekua sana hadi huko mbali
Mimi nipo interested sana kwenye kujaribu features mpya, na siyo stability. I'm in the insiders ring for the stay.Mkuu annivesary update ya W10M tayari ishatoka official. Na kwa sasa W10M inapatikana hata kwa wale wasiokuwa katika insider rings. Though kwa sasa kwa sisi wa anniversary update tupo katika OS build 14393.67
Mimi nipo interested sana kwenye kujaribu features mpya, na siyo stability. I'm in the insiders ring for the stay.
Lumia 640 na lumia 535Kituu
Inanikomandi mkuu niwe na wifi nielekeze de way nitaweza tengeneza wifi kupitia simu zangu mbili ili niweze fanya hiyo makitu
Hakuna feauture yoyote mpya, zaidi ya improvement wanazofanya kwenye kuhakikisha ubora wa sauti, na wameongeza tones mpya kwenye sound settings kqa ajili ya calls & notification alerting.Vipi kuhusu kukaa na chaji.? na stability huko mbele ya safari. Maana haya ndo matatizo sugu katika updates zozote.?
kuna feature gani mpya ya ziada iliyoongezeka.?
Hee iyo windows 10 mobile mbona update yake ishatoka zamani tu tangu January wame release ww ndo umeipata juzi bro