windows phone 8 yazinduliwa. it is really android killer new generation smartphone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

windows phone 8 yazinduliwa. it is really android killer new generation smartphone

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Oct 29, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  guys nacheki uzinduzi wa windows phone 8 hapa na kuna vitu nanote vipya vinanvyovutia

  live wallpaper

  hii ni app unayoiseti kama wallpaper then hio wallapaper inakua live. mfano mimi napenda mpira then siangalii mpira now na nataka npate matokeo basi naeka live walpaper ya espn kila matokeo yakichange naona kwenye screen (kama screen saver)


  guest user

  windows phone 8 ina user mwengine unaeka hii kwenye windows ipo now imekuja kwenye simu. hapa walitolea mfano mwanao ana mtindo wa kukuomba simu achezee hii feature itasaidia kumuekea vitu vyake kwenye user mwengine ili akiichezea simu yako asikutane na mambo ya wakubwa

  data sense
  hii inaonesha data unazotumia kama dashboard vile inaonesha both mobile data na wifi

  my room

  hii unaeka siri zako na unaweza share na mtu wako wa karibu. mfano my room unashare na mkeo ukienda kazini ukitoka kupata lunch yani everything.

  app 120,000
  windows phone 8 imezinduliwa na app 120,000 na pia ni easy kwa kuport app yako yoyote ya windows kwenda wp tofauti na wp7.5
  [​IMG]

  live tiles
  hapa zimekua confirmed tu kila mtu nadhani anazijua


  built in skype

  skype ukiwa nayo kwenye wp8 inakua kama feature ya simu. mfano mi na rafki yangu wote tuna wp8 nkimpigia kwenye contact ntaona option ya kumcall kwa skype na ye atareceive kama call ya kawaida

  wireless sync
  hapa utahamisha hadi multmedia kutoka device 1 kwenda nyengine ambazo ni windows rt, windows8 na mac


  direct x graphic
  watu wa magame hapa ndo penyewe kwa direct x tutegemee game za ukweli kwenye wp8 kuliko os yoyote ya simu

  multitasking
  japo bado hizi os mpya hazijafikia symbian na meego kwenye multitasking but wp8 inajitahidi itakuepo multitasking na itakua inaonekana kwa screenshot kama hivi
  [​IMG]


  intergrated microsoft office

  ukiwa na wp8 utakua tayari una office 2013 na kuweza kuandika na kusoma mafile ya word, excell, powerpoint
  [​IMG]
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kweli technolojia inatisha!
   
 3. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  endelea
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  welcome back windows and nokia njoo mkimbize hizi toto zinataka jifanya names of the game
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  • I hope watakuwa wame-sort tatizo la kwenye Belle (natumia N8-00) kushindwa kutambua namba zilizoseviwa bila prefix.
  • Na wata-enable inbuilt hotspot capabilites
   
 6. i411

  i411 JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nimesoma sumsung like s3 looks terrible na h&c X8 zote zipo chini ya kiwango kwa watu waliozichezea leo haziwezi zikatetemesha adroid army lol....... alafu zipo expensive sana zitadoda angalia video hapo ya kitu cha sumsung na HTC 8x...... nimekipenda cha htc 8x
  [video]http://www.viddler.com/v/6c73e2b6?secret=38741093[/video]

  [video]http://www.viddler.com/v/31e5f596[/video]
   
 7. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Have u seen the new Google Nexus 4? $299 unlocked price,Quad core Snapdragon S4 28nm process this thing is BLAZINGLY FAST,NFC,Wireless charging,1280x768 IPS Display,Pure Vanilla Android and this is 4.2. Why WP8 Again?????
   
 8. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  Mh Chief Android killer? Teh teh teh, alinacha.
  Nawakubali Microsoft coz ndio waliotulea, ila mi nadhani wangekijika tu katika computers os. Game la smartphone, tablet wawaachie hawa bongo fleva (ios, Android etc)
   
 9. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Machine ni iPhone 5, 4..... Htc, Palm kidogo Samsung anakuja vizuri kwasababu anaiga kwa apple... Wengine hakuna kitu
   
 10. c

  conta Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  All the features are really nice, lakini hili la kuua Android is day dreaming

  Android ni open source, na kama kila mtaalam ajuavyo open sources are always powerfull cause are being shared and tested by lot of developers

  Bado smartphones za android ni cheap than windows na itaendelea kua hivyo as this one is provide free with lot of free apps

  Kama ambavyo asp imeshindwa kuwa altenative kwa php, na kama ambavyo microsoft sql imeshindwa kuwa altenative to mysql hakuna siku windows mobile itakua altenative to Android
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaonaje windows kwa app? Sasa window app zote unaweza kuzihamisha kwenye windows phone 8. Mimi sio developer kulizungumzia sana lakini developer wenyewe wanafahamu urahisi wake wp8 itakua na app nyingi na bora zaidi
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  Hivi hujajiuliza why androud 4.2?

  Mpaka sasa os ya android iliyo stable ni 2.3 ginger bread kuanzia 3.Xx honeycomb hadi 4.1 jelly bean zote zimeprove failure zinastuck ovyo na ni rahisi kua na malware na vitu vinavyokutrack.

  Sisi wabongo hatujali tunatumia tumia tu vitu kama panya wa research vile. Ushawahi jiuliza why ukiingia google unakuta matangazo ya vitu unavyopenda? Kila unachofanya na android yako google wanakutrack hivo ni tunavyovijua bado tusivyovijua.

  Na sasa hivi google wanatoa predictive search yani ukiingia google wawe wanaguess unaenda kusearch nini naona hapa ndo watatukagua hadi tunavaa nguo gani.

  windows phone 8 ni adss free, smooth hamna tracking, a lot of features just ipe time mkuu utaona market share taratibu ikianza kumegwa.
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  Mkuu mtaani kwetu kuna duka la mhindi tuu. Mwache mchaga nae afungue duka na msambaa nae afungue pia.

  Android alikua monopoly kwa sababu ndo os pekee manufacture waliweza kwenda sasa hivi windows phone imekuja wacha walete competition.

  Then kitu kinachonipa hope zaidi ni mwenendo wa samsung. Kubali kataa moyo wa android ni samsung cha ajabu ni kwamba samsung sg3 mini ndo alowapa android wakati december anatoa samsung odysses (better than s3) kwa ajili ya wp8. Why astoe ya android?. Jamaa nahisi kalisoma game anajivua taratibu.

  Hata tablet katoa ativ tablet
   
 14. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  masini sony wangu hata simsikii
   
 15. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Specs karibu zote hizo zipo kwenye Samsung Galaxy S2 ninayotumia ambayo ina mwaka zaidi ya mmoja sasa.
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  mkuu hapa tunazungumzia operating system

  kama unataka ligi ya specs nokia lumia 920 hana mpinzani maana tayari ishachukua nickname ya most innovative phone ever happen kama huamini nenda website yoyote unayoijua wewe kafanye comparison.
   
 17. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  yah mimi pia nafeel sorry for them maana ukizungumzia kampuni inayoshindana na nokia kwa hardware ni sony lakini wao ndo hawaskiki kabisa.

  jamaa now ndo wana camera nzuri kuliko android yoyote na ndio pekee screen ya simu zao unaweza touch kwa gloves
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jellybean ina stuck?? everything u do on the OS is at 60fps!!! thanks to project butter and hardware accelaretion. gingerbread ndo ipo stable?? what tha hell are u talking. its an old OS in android world!! Have ever even used Recent versions if android???
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,778
  Likes Received: 7,095
  Trophy Points: 280
  Mkuu os ya android ukitoa apps haikua nzuri sio nzuri na haitakuja kua nzuri. Unajua sababu ni nini?

  Android ilitengenezwa kucompete na nokia symbian ambazo zilikua non touch bahati mbaya kabla haijatoka game likachange zikatoka iphone za touchscreen so wakaichange (bila kuanza from scratch kutoka non touch to touch.)

  Mkuu sjaitumia hio jelly bean lakini ice cream nimetumia ukiiforce kidogo inanata unasubiri kidogo inaendelea.

  Nakupa proof kua 4.1 imefeli hapa chini na wewe ni shahidi maana unajua toka itoke 4.1 ni mda mchache kabla watu hawajaifaidi wametoa 4.2

  Ushahidi wa kwanza
  Jellybean randomly lags for no reason, and won't stop. - Galaxy Nexus - RootzWiki

  ushahidi wa pili
  Keyboard lag on Jelly Bean is ridiculous - Galaxy Nexus - RootzWiki

  ushahidi wa tatu
  [Q] Jelly Bean lagging? - xda-developers

  ushahidi wa nne
  4.1 jelly bean - Annoying app switcher bug in Galaxy Nexus - Android Enthusiasts

  Mkuu unatosha huo upitie hizi link zimetoka forums za androids kwenyewe. Usihadaishwe na os inavopambwa user ndo wanaotest na kujua bugs
   
Loading...