"windows is not genuine" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"windows is not genuine"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GAMBLER, Dec 9, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wenu wana jf. Kuna laptop nimenunua aliyeniuzia alikuwa ameinstall window xp. sasas imekuja kuva lidate.na inanipa msg ya "this copy of windows did not pass genuine windows validation" hii msg inajitokeza kila mara na inasumbua sana.Mwenya kujua namna ya kuiondosha hii msg naomba atuelimishe
   
 2. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi wadau...mbona kimya...mmechemka?
   
 3. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kaka,subiri wataalam watakuja na permanent solution,just be patient!!!
   
 4. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asanta dadangu Sugar, navuta subira
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,223
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Gambler,
  Utatuzi wa shida yako sio kuondoa hiyo msg, haitatoka. Cha kufanya ni kuweka windows nyingine genuine katika hiyo tarakilishi yako, kwa kuondoa hiyo iliyopo. Muone fundi yeyote wa PC aliye karibu yako, huenda anayo hiyo windows XP genuine. Km uko DSM ama maeneo ya jirani naweza kukusaidia.
  Kila la kheri.
   
 6. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia inawezekana, hakuna anayejua?
   
 7. tovuti

  tovuti Senior Member

  #7
  Dec 9, 2009
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo lako ni sawa na la kwangu, wadau mwenye kujua hapa, atupe msaada wake
   
Loading...