Windows explorer has stopped working

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Ninatumia laptop ya Dell Inspiron ambayo imekuwa installed with Windows Vista Basic.

Kwa kama siku mbili hivi nimekumbana na tatizo ninapowasha laptot

The message comes says " Windows explorer has stopped working" halafu tena " Windows explorer is restating"

Nikiboot katika safe mode hili tatizo halitokei vile vile nikitumia guest account hilo tatizo halikoe, nimejaribu kuondoa documents zote katika desctop ya Admin account nikidhani labda kuna corrupt file katika desktop ya Admin lakini tatizo liko pale pale.

Nafikiria kuipiga chini Vista niweke XP sasa kabla sijafikia huko naomba mwenye kuweza kutoa ushauri zaidi wa kuondoa tatizo hilo

Wenu

Ndege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom