Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,521
Mbona hiyo nyuzi ishawekwa humu jamvini na wakuu MziziMkavu Kimox Kimokole e2themiza ?Hi! kwa wale mnao pendelea kuwa na windows 8 pro katika machine zenu fanyeni hivi download hi windows 8 pro torrent link hii hapa Windows 8 Pro WMC x86 Retail Channel Free Mode en-GB Dec1 2012 (download torrent) - TPB wakati una download nenda hapa Add features - Microsoft Windows ili kuweza ku register upate keys za windows media centre ambayo ita activate windows yako kabisa .ukisha maliza download windows yako install ukimaliza ku install nenda kwenye PC settingsiko upande wa kulia kwenye menu ya settings. utaona option ya ku activate window baada ya ku bonyeza PC settings ,weka keys utakazo pewa na window nadhani ina tumia siku 3 au 2 kwa windows kukutumia hiyo key so uwe mvumilivu .wakati mi na fanya haya machine ilikuwa kwenye internet sasa sijui kama usipokuwa kwennye internet ita kubali au laa ila sio mbay na wewe ukiwa kwenye net ..
ww ulitakiwa uongeze uzito(muendelezo) kwenye post zao ili tupate faida kuliko kuanzisha nyuzi nyingine