sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
dont be fooled by crackers mkuu..watu wanacrack win 8 preview ionekane kama original na ndo maana bado unakuta watu wengi wanalalamika inamapungufu sana mara drivers fulani hazifanyi kazi sababu the real one is not yet out!!!!hii iliyozagaa mtandaoni ni kama cracked version tu ya preview ili isiwe na ile limit ya preview time na mtu ujione kama unatumia original(win 7 ilikuwa hivihivi mkuu), na hiki ndo kitakachofanyika hata original yenyewe ikitoka..watu wanacrack ili utumie original bila kununua...ndo hiyo watu wengi wanasubiria nikiwemo mimi..open your eyes!!
Mkuu nakubali yote unayosema lakini kwa binadamu hakuna kisicho leak hasa kwa wale wa bure. Kama unasubiri ya kuuziwa officialy ww subri.... Angalia Snap Shot ya huyu jamaa vizuri utaona Version ya Windows ni Windows 8 pro na wala sio consumer preview na kadhalika.
Hii windows 8 ni real ww subiria version nyingine ka ultimate nk.
Asante
mkuu naomba tusaidiane maana mie najaribu kudownload inadai password na user name, au mie nakosea wapi?
Mkuu nakubali yote unayosema lakini kwa binadamu hakuna kisicho leak hasa kwa wale wa bure. Kama unasubiri ya kuuziwa officialy ww subri.... Angalia Snap Shot ya huyu jamaa vizuri utaona Version ya Windows ni Windows 8 pro na wala sio consumer preview na kadhalika.
Hii windows 8 ni real ww subiria version nyingine ka ultimate nk.
Asante
dont be fooled by crackers mkuu..watu wanacrack win 8 preview ionekane kama original na ndo maana bado unakuta watu wengi wanalalamika inamapungufu sana mara drivers fulani hazifanyi kazi sababu the real one is not yet out!!!!hii iliyozagaa mtandaoni ni kama cracked version tu ya preview ili isiwe na ile limit ya preview time na mtu ujione kama unatumia original(win 7 ilikuwa hivihivi mkuu), na hiki ndo kitakachofanyika hata original yenyewe ikitoka..watu wanacrack ili utumie original bila kununua...ndo hiyo watu wengi wanasubiria nikiwemo mimi..open your eyes!!
mi ninatumia window 8 user preview toka mwezi may mwaka huuuhivi hii windows 8 imekuwa released officially lini?
Kimox Kimokole hayo ndo mambo ya dunia ndugu yangu.. Hata fidQ analalamika watu wanapiga nyimbo yake redioni wakati bado hata haja launch sasa cjui wameitoa wapi. nyimbo yenyewe inaitwa Feedback. usishangae kwa windows 8 sijui niniAsante Biohazard kwa kumjibu huyu jamaa, kama yeye anasubiri mpaka 26 oct imekula kwake. Hii ninayotumia mimi ni Real Windows 8 Pro.
sijui nini endelea kusubiri mkuu hata Windows 7 nilikuwa nayo kabla haijatoka
dont be fooled by crackers mkuu..watu wanacrack win 8 preview ionekane kama original na ndo maana bado unakuta watu wengi wanalalamika inamapungufu sana mara drivers fulani hazifanyi kazi sababu the real one is not yet out!!!!hii iliyozagaa mtandaoni ni kama cracked version tu ya preview ili isiwe na ile limit ya preview time na mtu ujione kama unatumia original(win 7 ilikuwa hivihivi mkuu), na hiki ndo kitakachofanyika hata original yenyewe ikitoka..watu wanacrack ili utumie original bila kununua...ndo hiyo watu wengi wanasubiria nikiwemo mimi..open your eyes!!
mtakuja kushangaa itakapotoka..lets wait n see..
Nipeni msaada kwanza, sasa nikitaka kuitoa hii window 7 na kuweka hii window 8 bila kupoteza data na setting za laptop na kila kitu kuna instructions ambayo ipo step by step jinsi ya kufanya??
MziziMkavu huja-activate bado kaka vp? Hiyo Activator inakubali kwenye hiyo Windows 8 Pro Build 9200
hivi hii windows 8 imekuwa released officially lini?
achane kutaniana nyinyi..windows 8 officially ni mapaka october 26, hizi zote bado ni version za preview tu..mfano hii chini ni maelezo ya wikipedia:
Windows 8 is an operating system produced by Microsoft for use on personal computers, including home and business desktops, laptops,tablets, and home theater PCs.
Development of this operating system started before the release of its predecessor in 2009. Its existence was first announced in January 2011 at Consumer Electronics Show. During its development and test phases, Microsoft released three pre-release versions: Developer Preview (September 13, 2011), Consumer Preview (February 29, 2012), and Release Preview (May 31, 2012). On August 1, 2012, Windows 8 graduated from the development stage and was released to manufacturing. Windows 8 is slated for general availability on October 26, 2012.[SUP][2]
[/SUP]
kwa maelezo zaidi search hata google tu utaona...
Mkuu Kimox Kimokole Hii Windows 8 nimeiweka kwanza kwenye VMware 8 nitaiweka kwenye Desktop yangu hivi karibuni kwanza nita Backup Driver zangu kisha ndio niiwke nitaiweka juu ya Windows 7 Ultimate ninayo Ubuntu na Zorrin hizo zote pia kiboko si unazijuwa OS za Linux? hii Zorrin kitu mwisho ya OS LinuxMziziMkavu huja-activate bado kaka vp? Hiyo Activator inakubali kwenye hiyo Windows 8 Pro Build 9200
Imetulia .. lakini utakuta kuna wakuu mpaka Hui Leo wanatumia window XP