usitumie set up ya cd uliyonunua, nenda kwenye website download free setup (iwe ya mwaka 2014) then install ukimaliza tumia registration keys ulizonunua (ambazo zinaambatana na cd) alafu ziweke!! hii inatokana na kwamba at a time walivyokua wametoa kaspersky 2014 windows 8 na 8.1 zilikua bado hazijatolewa na ndio maana zinasumbua kwenye instalation. Kaspersky Anti-Virus Free Trial Download | Kaspersky Lab US
Kama hauwezi kwenda kwenye internet, ingia kwenye unstal/ install program. Then chagua add features kisha weka tik kwenye dot net framework 3.... na 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.