Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Sie tunajielewa basi!??? ni blah blah blah ndo tunaziweza zaidi lakini vitendo nehi.!
Sie tunajielewa basi!??? ni blah blah blah ndo tunaziweza zaidi lakini vitendo nehi.!
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe ... wewe angalia mfano wa maneno yenyewem nadhani ktk ligha ya kiTechnologia kwa kweli kiswahili ni kigumu sana tena sana kuna cku nlishika cm inayo run kiswaz!!!!!!!!!!!!!!!!!! duh nilchoka
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
hii lugha kama ndiyo kiswahili,itachukua miaka kadhaa kuwafundisha watumiaji wa computer kuielewa.binafsi naona giza tu( mfano neno kipeto.usimbaji fiche,kikatalani)Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe ... wewe angalia mfano wa maneno yenyewe
Muhtasari
Kipeto Lugha hiki Kiolesura cha Windows (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini katika vigagula, vikasha ongezi, menyu, na mada za Msaada na auni zitaangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajatafsiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows 7. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows 7, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, matini mengine yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja kwa lugha moja msingi. LIPs za Windows zinaweza kusanidiwa kwa matoleo yote ya Windows 7.
Maagizo
ONYO: Kama una usimbaji fiche wa BitLocker uliowezeshwa, tafadhali usitishe kabla ya kusanidi LIP. Fungua Control Panel, teua System and Security, kisha BitLocker Drive Encryption. Bofya kwenye Suspend Protection.
Kwa sababu kuna vipakuaji vya kando vya matoleo ya 32-biti na 64-biti vya Windows 7 LIP, kabla ya kuanza kupakua, unahitaji kubainisha ni toleo lipi la Windows 7 ulilosanidi. Hivi ndivyo unavyostahili kubainisha ni toleo lipi la Windows 7 ulilosanidi:
Source: Maelezo ya upakuaji: Windows 7 LIP
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe ... wewe angalia mfano wa maneno yenyewe

Mkuu Dotworld Poa tu mimi mbona ninatumia na ipo Poa kichizi.Mkuu leo.leo Jizoesheni Lugha yenu acheni Utumwa wa lugha za wageni lugha ya kizungu jifunzeni lugah yaenu kwa njia ya Computer jamani acheni uvivu.hii lugha kama ndiyo kiswahili,itachukua miaka kadhaa kuwafundisha watumiaji wa computer kuielewa.binafsi naona giza tu( mfano neno kipeto.usimbaji fiche,kikatalani)
Sio uvivu Mkuu MziziMkavu Unajua hii lugha ukiingia kichwa kichwa unaweza ukatoka kapa, unaweza ukajikuta unataka ku-accept command kumbe ndio una-DELETE.
Mkuu DotworldAcha uvivu jifunze lugha yako acha mambo ya ukoloni wa lugha za kigeni.Sio uvivu Mkuu MziziMkavu Unajua hii lugha ukiingia kichwa kichwa unaweza ukatoka kapa, unaweza ukajikuta unataka ku-accept command kumbe ndio una-DELETE.
Chukua kwa mfano maneno hayo hapo kwenye web page yao MOJA TU ya kiswahili imejaa maneno kama
- Kipeto,
- Kiolesura,
- Kusanidi,
- Matini katika Vigagula,
- Vikasha ongezi,
- Auni zitaangazishwa,
- Kikatalani,
- Usimbaji fiche!
Just imagine ume-hit Enter Key alafu inakuuliza Je? unataka matini katika vigagula? ... sasa what's the hell is matini katika vigagula?