http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=1265544 fungua hyo link then download file hpo ukimalza extract na ufanye double click then restart PC yako utakuta issue ya resolution iko poa.Salaaam Chief.
Nimekua nikitumia Windows 10 Tech. preview bit64 kwa miezi kadhaa ila inanipa tatizo kila ninapo update kutoka Build 9926 kwenda juu. after each update pc inakuwa na resolution mbovu kwamba update haimatch custom resolution ya pc na wakati driver ya display iko latest updated na pc yangu ni hp elite book 6930p with 1280 800 display resolution.
Qn: processor haina uwezo wa kusukuma bit64 update au kuna technical problem nyingine? Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani kwa thread hii
Salaaam Chief.

nimepiga chini Windows nimeanza upya yaani natumia build 9926 wakuu
Aksante mkuu
mi naitumia muda mrefu sasa, kama hautumii touch screen unatumia mouse na keyboard nairecomend windows 10 over windows 8.1
-utapata start menu kama ya win 7 lakini yenye features za win 8, app za win 8 sasa hivi unaweza kuzirun kwenye desktop mode pamoja na kuziresize, kuminimize nk
-ina vitu vingi vya kisasa vilivyokuwa kwenye simu vimeongezwa kama
1.uwezo wa kushare vitu toka file explorer
2.notification centre
3.cortana (assistant)
-kimatumizi kama umeshatumia win 8 na 7 basi 10 haitakushinda sababu vitu vingi vipo sawa
Mkuu,
Mimi natumia Win 7. Je naweza kui-upgrade to Win 10?
Ahsante
mm natamani kutmia hiyo technical preview kwa sasa,je niki instal preview ninaweza pata free upgrade 29 july?
kama una win 7 basi 10 inakaa bila tatizo, kama ni genuine windows 7 basi na windows 10 utaipata bure. ila kama ulichakachua hio win 7 basi itabidi ununue/uchakachue windows 10
Ahsante Mtwa Mkwawa! Is there a way of knowing the authenticity of installed Win?
Km spico mpango mzima una crack windows OS na Microsoft office application