Ikiwa nzito fungua Task manager angalia nini kimejaa. Cpu, ram ama Hard disk? Kama ni cpu tafuta machine nyengine, kama ni ram ongeza, kama ni storage weka ssd.Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23]
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
Fanya disk cleanup itakaa sawa... Ujue windows ikimaliza ku update inabakiza file lake lile la GB 3-5 kwenye local disk C mpaka ulifute mwenyewe ukimaliza restart PC itakaa sawa..Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23]
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
Mkuu ni vitu gani hasa vinaweza kuchangia CPU kujaa haraka?Ikiwa nzito fungua Task manager angalia nini kimejaa. Cpu, ram ama Hard disk? Kama ni cpu tafuta machine nyengine, kama ni ram ongeza, kama ni storage weka ssd.
Kuingia task manager right click kwenye taskbar kisha chagua task manager.
Kabla ya kukushauriHabari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23]
Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi kero,unaweza jua click kitu mpaka kifunguke ni shida nyingine…
So mwenye uzoefu tafadhali anisaidie jinsi ya kuondoa hii changamoto!
Nawasilisha
Swali zuriKabla ya kukushauri
weka specifications za maxhine isijekuwa umenunua refub tena ilikuwa na windows XP halafu utegemee windows 10 ikae na performance yake
√ RAM
√ Motherboard
√ HDD
√ Processor
Anzia hao kwanza
Cpu ya kisasa ngumu kujaa mkuu kwa kufanya task za kawaida mpaka uwe unafanya task nzito kama kucheza game, ku render video etc.Mkuu ni vitu gani hasa vinaweza kuchangia CPU kujaa haraka?
Nashukuru,pc yangu ina specs zifuatazo....Kabla ya kukushauri
weka specifications za maxhine isijekuwa umenunua refub tena ilikuwa na windows XP halafu utegemee windows 10 ikae na performance yake
√ RAM
√ Motherboard
√ HDD
√ Processor
Anzia hao kwanza