Windows 10 mobile is officialy out

Windows 10 mobile is officialy out

Mkwawa naiwekaje hiyo rss reader nani niweze fanya mambo Kama hayo kwani naingia store haipo au nipe link niidownload moja kwa moja Na nijue ninicha kufanya
andika tu store neno rss zitatokea nyingi download moja inaitwa simpirss then ukitembelea website ukiona neno rss copy link yake halafu kapaste kwenye hio app yako.
 
Nimeipata ila sasa mfano nataka kupatana rss ya muungwana nafanyaje manake umekua mtihani pia
 
mkuu android na security ni kama kujaza maji kwenye gunia au pakacha kila unapoziba kwengine kuna tundu.

blackberry priv kabla haijatoka app zake xda walioipata simu mwanzo walizi exract watu kibao wanazo. unafikiri wamewezaje kuzi extract? inamaana wamegain uwezo wa kucheza na system files tayari ni useless. hao blackphone watu walibypass security pale pale kwenye uzinduzi wa simu wala usiwataje na knox chainfire kila siku anaidisable.

chukulia mfano mdogo simu zote hizo zinatumia browser gani? ni hizi hizi za kina chrome browser yenye permission zote? browser inatumia mic, camera na vitu ambavyo dhahiri inaonesha inakuspy. sidhani kama it mwenye akili ataipa management au ceo wake simu yenye hatari ya kuspy kama hio.
Kwenye android 6 app permission imemaliza kila kitu, sasa hivi kidogo kila app unaipa permission ya kuaccess unachotaka kabla ya kutumia, bahati mbaya JF app imeshindwa kuupload screen shot za Google Chrome
 
ngapi unaweza kuzicontrol? feedback ni muhimu.

na kama nilivyosema matundu ni mengi kama pakacha kuna vitu vingi sana, juzi nasoma gsmarena kuna malware wanaexploit soc kama mediatek na kujipa root acess (hata kama hujaroot simu) na kujieka kama system file.

angalia hapa jukwaani wangapi wanalaalmikia matangazo kama monkeytest na wengineo? na ukitrace hizi app zote ni system files zimefikaje huko?
 
lumia 1520 bado zipo kweli? au mpaka amazon/ebay? vipi bei yaweza kuwa kama sh.ngapi vile?

shukrani.
yeah zipo Mimi ninayo ya made Ni in hongkong nimenunua kwa mtandao www.taobao.com almost 3000¥ now nadhani around 1700¥ ila Kuna nyengine Ni fake.
 
Chief-Mkwawa naulizia app ya VPN kwa windows phone nimejaribu nyingi zimegoma anh idea?
 
ngapi unaweza kuzicontrol? feedback ni muhimu.

na kama nilivyosema matundu ni mengi kama pakacha kuna vitu vingi sana, juzi nasoma gsmarena kuna malware wanaexploit soc kama mediatek na kujipa root acess (hata kama hujaroot simu) na kujieka kama system file.

angalia hapa jukwaani wangapi wanalaalmikia matangazo kama monkeytest na wengineo? na ukitrace hizi app zote ni system files zimefikaje huko?
kitu nimeangalia hadi app nyingine zimenyimwa permission ya kuaccess kitu , na sasa hivi wameniletea update ya 6.0.1 ambayo wamefix bugs za security, nikipata pc ya kuweka screen shot nitakuwekea mkuu, ndo kilichonifanya nirudi android kwa sasa
 
Yeah kweli sasa hivi security imekuwa improved mno hadi raha tena nimefurahiya tunapata monthly Security patches na permissions ambazo tunaweza nyima ni kama hizi.

c50240233a22412ee5df2fd3d1c10b91.jpg
 
unaweza kubadili permission ya app zinazokuja na simu?
 
Karibia zote unaweza

5e3b9c643ad1e585a50294c09119fb10.jpg
91d91147b2110fdbb6fffd96f37942f9.jpg
e62a88a6408cc6398ea80745c5cfc117.jpg
521dc0ef96711bac8ab1b20c342ba2d8.jpg
3f8096e1727d0636bf8c31cce5da2c5a.jpg
22da5aa4f6360115747e27c150dccfc1.jpg
duh kwakweli kuna improvement.

windows watafute/watengeneze muonekano mzuri zaidi ya huu wa sasa wasi relay kwenye jambo moja tu la security wenzao iphone wan security lakini pia muonekano haupishani sana na android...
 
Hii view ya sasa ya windows phone ndiyo ID yake na ndo uniqueness yake. Sisi users wa windows inatuvutia. Haina haja ya kucopy ama kutoa view yenye mfanano na iOs ama Android. View yake kwa sasa ni superb.

Usisahau kuwa kila biashara ina mteja wake.
 
hahhahaha sawa mkuu.
 
unaweza kubadili permission ya app zinazokuja na simu?
Yap unaweza kuzinyima, mfano htc one A9 nimeinunua ikiwa na pre installed apps mfano Google Chrome ambayo ilikuwa imejipa permission za kuaccess contacts, camera, location na vitu kibao lakini nimezima imebaki location peke yake
 
duh kwakweli kuna improvement.

windows watafute/watengeneze muonekano mzuri zaidi ya huu wa sasa wasi relay kwenye jambo moja tu la security wenzao iphone wan security lakini pia muonekano haupishani sana na android...
ios wana launcher tu ya apps ukitoa setting na homescreen kuna nini cha ziada?
 
Back
Top Bottom