Windows 10 kutolewa bure kwa watumiaji wa windows 7 na 8

Windows 10 kutolewa bure kwa watumiaji wa windows 7 na 8

hapo umeshaambiwa, kuwa ni free kwa mwaka mmoja, anachotaka ni kila mtu aaupgrade, then mwaka unaofuata anakula mafao, coz anajua utakuwa umeshaipenda.

hizi ni rumors feki wamekanusha microsoft. unatakiwa ufanye upgrade ndani ya mwaka then ukipita mwaka hujafanya utahitajika kulipia ili kupata win 10. na sio kwamba baada ya mwaka utalipishwa
 
Mi natumia 8.1 hacktivated mpaka nipate pc nyingine ndio ni test windows 10
 
Back
Top Bottom