mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
kwan ww hyo service pack 3 ni mpaka hela
mkuu jana nilinunua laptop zilitoka canada, aina ya ergo, akaniwekea service pa2 aliniboa sana, hata haikuweka sound device, na muonekano utadhani komputa yangu chuma chakavu. nimetupia kwenye kibegi sijaitoa hadi leo. service p3 nitapata wapi, wenye nazo wanabana sana, yaani watanzania bana utadhani wametengeza wao