goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,049
- 1,344
Hiyo window ni activated? PiA genune kama sio tafuta window nyingine ambayo ina activation key au kama ni crack iwe activated hivyo ndo utafavifanyahabari ndugu wapendwa!
naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafdhar
mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
msaada tafadhr
Bonyeza key iliyoandikwa Fn then bonyeza F6 KUONGEZA MWANGA F5 KUPUNGUZA MWANGA
KWANI IKO KAMA HIVI AUhabari ndugu wapendwa!
naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafdhar
mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
msaada tafadhr
NGOJA AJIBUHiyo window ni activated? PiA genune kama sio tafuta window nyingine ambayo ina activation key au kama ni crack iwe activated hivyo ndo utafavifanya
Hiyo window ni activated? PiA genune kama sio tafuta window nyingine ambayo ina activation key au kama ni crack iwe activated hivyo ndo utafavifanya
Ungei update tu hiyo window 7 ungepata sttng ya mwanga

kama brightness haiongezeki huna drivers za graphics na bila kutaja full specs za hio laptop huwezi pAta ushauri wa windows
Windows/OS ya kuweka iliyobora kwa sasa ni Windows 10 ( Kwa kuwa ilikuwa na windows 7 basi win 10 ni chaguo sahihi)naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
Tatizo la Lenovo graphic drivers zake haziingii wakati wa installation.lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga.
Display / Screen Resolution inategemea "Graphic Driver"mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
Haihusiani kabisa na Graphic Drivers. Msome upya mleta mada.Hiyo window ni activated? PiA genune kama sio tafuta window nyingine ambayo ina activation key au kama ni crack iwe activated hivyo ndo utafavifanya
Mpe njia broHaihusiani kabisa na Graphic Drivers. Msome upya mleta mada.
Ulichokizungumzia kinahusiana na Personalization: Mfano kubadili picha (Background) Hii hukataa iwapo unatumia windows ambayo haujaifanyia activation - Ambapo screen itakuwa nyeusi.
model? lakini kwa lugha nyepesi na ya haraka lenovo sio laptop nzuri zinakra sanahabari ndugu wapendwa!
naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafdhar
mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
msaada tafadhr
jaribu kuweka 7 prof,64bit, kidogo inatuliahabari ndugu wapendwa!
naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafdhar
mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
msaada tafadhr
Bila shaka tatizo lililopo kwa hiyo PC yako ni kwamba haina graphic drivers. Drivers mbalimbali huweza kupotea mara ufanyapo installation ya window mpya ktk PC yako, hivyo unahitaji kuikagua PC yako mara tu umalizapo kuifanyia 'Windows installation' ili kuona kama kuna drivers zilizo-miss and uzifanyie 'recovery'.habari ndugu wapendwa!
naomba tena ushauri kuwa window nzuri kuinstal especialy kwa pc aina ya lenovo, ipi inafaa zaidi!?
lakini pia nilikuwa nimeinstal window 7 altimate shida yake ni kwamba haipunguzi mwanga. nimejaribu kuangalia setting kama brightnes lakini hakuna option ya kupunguza mwanga. batani zenye alama ya mwanga nazo hazirespond. mwenye uzoefu wa haya mambo anisaidie tafdhar
mwisho ni maandishi yake kwa screen, nimakubwa mno nimeyapuunguza yamepungua kidogo lakin bado hayako normal
msaada tafadhr
Ndugu Shijer11model? lakini kwa lugha nyepesi na ya haraka lenovo sio laptop nzuri zinakra sana