Window gani bora zaidi?

binafsi naona windows 10 pro 1903 n kal kinoma noma pengne tusubr may update ingne ila ya mwaka jana imesimamia ukucha
power consumption iko poa pia haina uboya kama build za nyuma
 
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano bluetooth nk.
1. Bluetooth si software ni hardware, kama haipo kwenye computer hata uweke windows gani haitakuja.

2. Windows nzuri na ya kisasa ni windows 10.
 
binafsi naona windows 10 pro 1903 n kal kinoma noma pengne tusubr may update ingne ila ya mwaka jana imesimamia ukucha
power consumption iko poa pia haina uboya kama build za nyuma
Kwa sasa tupo 1909 mzeiya. Iko poa sana
1584032175853.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote kwa Yote window 7 ni baba Lao hao akina 8. Na kuendlea ad 11 kwa 7 hawafati

Sent using UBUNTU 18LTS
 
ina depend unatumia kwa matumizi yapi
na pia toleo la PC yako ni la mwaka gani mana kuna PC zingne utake usitake lazima utumie window 10 ili pc yako ifanye kazi vizuri na kuna PC ili pc yako ifanye kazi vizuri kulingana na driver inakulazimu utumie window 7
Window 10 wanasema bora 7bu ni latest
kwangu mm na shughuri nizifanyazo WINDOW 7 ndo bora kwangu nikitaka nitumie window 10 inanicost ghalama kubwa za uendeshaji kwanza inapenda kula bando kwa maupdate yake ambayo huwezi kuyazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kuzuia. Nenda kwenye jina la wireless network unayotumia. Nenda kwenye properties, halafu, nenda kwenye metered connection. Weka "on". Kwisha habari yake.
 
inawezekana u unazuhia lkn inakwambia kabisa itaaupadate automatic
na kweli ikipata strong internet inapiga zaidi ya 10gb then baada ya hapo inatulia haisumbui kula bando lkn kwa ninazotumia window 10 kuupdate lazima
lbda uchokonoe file za security na ukichokonoa Window deffender ufunge na antvirus usiweke ama sivyo itaaupdate tu automatic

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi sana. Ni settings tu. Nenda kwenye properties ya network unayotumia. Wezesha "metered connection". Yaani set iwe " on". Ni hivyo tu mkuu wangu.

Fanya hivi kwa kila connection mpya ya internet.
 
Nimetumi windows 10 7 na 8.1.
Ila kura yangu inakwenda kwa windows 8.1.........kwanza 8.1 haina yale matatizo ya kila wakati Kama 10.. sijui "preparing automatic repair" huku kwenye 8.1 hakuna hayo matatizo ya Mara kwa mara...ukiehaipiga na kuinstall updates basi umemaliza, unaweza kaa hat miezi sita bila shida yoyote....pili iko fast kuliko 10 sababu haina miprogram mingi ambayo huifanyii kazi Wala faida yoyote zaid ya kujaza nafasi na kuongeza uzito wa PC au kuganda ganda.............,......wiki hii nilipoga windows 10 baada ya siku tatu ikaanza kuwaka alafu haimalizi...soon nitarudi home 8.1.
... windows 8.1 forever...
 
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano bluetooth nk.
Download drivers mkuu.... mbona yangu Bluetooth inapiga mzigo natumia 8 hiyohiyo.....au PC yako haina hardware ya Bluetooth....
 
Tumia obuntu !! Hutajutia wala kuwa atacked ovyo na virus

sent from toyota Allex
Hakuna kitu nachukia Kama Ubuntu Cha kwanza Ni kutumia micode kila sehemu...... windows ziko simple pia zinavutia....AU wewe utakuwa huna matumizi mengi na pc.....
 
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano bluetooth nk.
Aisee hakunaga kama windows10, yani sitamani kurudi windows za nyuma aisee nikikamata machine ina windows chini ya ten latest update naiona iko ki mechanical
 
Windows zote ni bora kwa kipindi chake lakini kwa sasa ni windows 10, windows inafanya kazi vizui kama utainstall driver zote za kifaa chako kwa mfano umesema bluetooth haifanyi kazi ilo sio tatizo la windows ni kwasababu ujainstall bluetooth driver za pc yako au driver za pc ya hazisupport hiyo version ya windows

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Nimekusoma mkuu na bahati nzuri nimeshapata ufumbuzi wa bluetooth, kama ulivyosema tatizo lilikuwa setting tu na driver.
 
Nimetumi windows 10 7 na 8.1.
Ila kura yangu inakwenda kwa windows 8.1.........kwanza 8.1 haina yale matatizo ya kila wakati Kama 10.. sijui "preparing automatic repair" huku kwenye 8.1 hakuna hayo matatizo ya Mara kwa mara...ukiehaipiga na kuinstall updates basi umemaliza, unaweza kaa hat miezi sita bila shida yoyote....pili iko fast kuliko 10 sababu haina miprogram mingi ambayo huifanyii kazi Wala faida yoyote zaid ya kujaza nafasi na kuongeza uzito wa PC au kuganda ganda.............,......wiki hii nilipoga windows 10 baada ya siku tatu ikaanza kuwaka alafu haimalizi...soon nitarudi home 8.1.
... windows 8.1 forever...
Uko sawa mkuu, 10 updates nyingi balaa. Nina 8.1 pia sema ina shida ya play stor inanizingua dah
 
Back
Top Bottom