Window 8.1 msaada


wakati unafungua hio acount ya email uliambiwa ueke alternative yake, unaikumbuka? na wakikwambia uverify wanakupa hints mfano email yako ni madames@gmail.com watakupa hint mad*****@gmail.com je hio hint inafanana na email ulioeka?

kwenye email ya kuverify angalia inbox pia angalia spam folder pengine ipo huko
 


Kama uliweka gmail basi nenda JUNK MAILS utaikuta...verify then go back to settings. Hilo tatizo litaisha. Hapa shida ni kuwa hiyo live.com is not active, hadi iwe verified..
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niangalie mkuu
 
Owh nakushukuru ngoja niangalie
Kama uliweka gmail basi nenda JUNK MAILS utaikuta...verify then go back to settings. Hilo tatizo litaisha. Hapa shida ni kuwa hiyo live.com is not active, hadi iwe verified..
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Eli79 na Chief-Mkwawa nawashukuru jamani sikuverify email tayar nimeshaverify nawashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…