Acha ulongo kama haujui kaa kimya mkuu!Yaaan mwishowe itakuwa ngiiiiii,lazima itahitaji kitu kinachoitwa pc
Acha ulongo kama haujui kaa kimya mkuu!
Inataka pc ili ifanyeje? pc inahusikaje hapo?!
Sijayapa vyema maelezo ya muhusika kwa haraka haraka, hapa kuna maswali ya ziada ambayo kimsingi lazima nimuhoji ili nijue kiini cha tatizo.Tupe maujanja basi mkuu!
Habari zenu wapendwa
Kuna mtu hapa nilipo ameletewa Nokia Lumia 720 ikiwa bado haijafanyiwa update juu ya hii window mpya sass tukaifanyia update imekamilika matokeo yakee inafanya kuupdate zile app zoote na zile za nyongeza kma Skype na Facebook tatizo linakuja hapa kila saa inasema weka password ya Microsoft account kila tukiweka hatuoni kama zinakuwa updated zina download kidogo zinaacha tatizo nini na kila nikiweka hizo password ile msg inajirudia tens
Naombeni msaada au ushaur nifanyeje
Asanteni.
Sijaelewa vyema ila;
..hakikisha ni account ya Microsoft, that is live.com, hotmail.com or outlook.com. Ukitumia google account i.e gmail.com au yahoo.com utakesha. It has to be a Microsoft account.
...hakikisha internet settings ziko ok toka kwa service provider. Inawezekana bado hazijawa set automatically kwa hiyo you gotta do the settings.
Natumia Lumia so I know the nuances wakati wa kuanza kuitumia.
sometime ukieka account inataka uverify, inategemea mwenyewe ulitumia verification gani. why usitume picha ya hilo tatizo?
Ngoja nikuitie Expert wa hii mambo
Cc ymollel Chief-Mkwawa mpitie na huku wakuu
Sijaelewa vyema ila;
..hakikisha ni account ya Microsoft, that is live.com, hotmail.com or outlook.com. Ukitumia google account i.e gmail.com au yahoo.com utakesha. It has to be a Microsoft account.
...hakikisha internet settings ziko ok toka kwa service provider. Inawezekana bado hazijawa set automatically kwa hiyo you gotta do the settings.
Natumia Lumia so I know the nuances wakati wa kuanza kuitumia.
NB;
Mkuu ila mara nyingi bora kujaza manual internet settings, service provide zinazengua sana zile namba za proxy na pot zinashindwa kuwa-connected na serves.