🤣 🤣 🤣 troubleshooter akiwa mbongo, badala ya kutoa msaada na yeye anashangaaWindow 7 bado kuna watu wanatumia?
izime kisha iwashe, inapowaka bonyeza f8 kisha nenda kwenye safe mode. hapo ikiwaka nenda ka uninstall software ya mwisho uliyotoka kuiweka kisha restart to normal
Wadau habari za jioni!
Pc yangu inaniandikia hivi
"Windows failed to start. A recent hardware or software change might be the cause"