Windmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki

Windmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki

Pamja mkuu
Niliuliza gharama za kichimba kisima cha mita 10,40,80,100 na150 bado hujanijibu.Then survey ya maji mnafanya wenyewe kwenye shamba.Mkishachimba vip bei ya installation ya hiyo windmill kwa mita hizo hapo juu.Nina shamba nataka kulima kilimo cha umwagiliaji so ningependa kufahamu gharama zako ili nijue la kufanya.
 
Nipo mbali kidogo ila shamba langu lipo Morogoro jirani na Mikese...sijafanya survey ya maji yanapopatikana.Je,survey ya maji mnafanya ninyi au inakuwaje.

Vip kwa gharama za kuchimba kisima kwa Mita 40,80 na 150.Nataka nijue hizo zote ili nijiandae kwa gharama iwapo itaangukia katika hizo nijiandae kwa gharama zozote.

Na kabla ya kuchimba unaweza kufahamu maji yanapatikana umbali gani.
Mkuu naomba nitafute nimeweka namba zangu hapo!
 
Mkuu naomba nitafute nimeweka namba zangu hapo!
Nafikiri ukiweka hapa kila kitu utavutia wengi na utanufaika pia kwa mengi.Nafikiri bado ni jukwaa huru na unaweza kuweka kila kitu wazi hapa.Kweli nataka kujua hizo bei niweze kuweka kisima kwenye shamba langu.
 
Kwa upande wa bei naweza kukubali kuwa hii bei ni affordable. Izo windmill si zinatoa umeme? Heb tuambie nikiasigani cha umeme hutoa.
 
Kwa upande wa bei naweza kukubali kuwa hii bei ni affordable. Izo windmill si zinatoa umeme? Heb tuambie nikiasigani cha umeme hutoa.
Umeme pia zina uwezo WA kuzalisha! Kuanzia 200watts na kuendelea had zaidi ya 50kw
 
Umeme pia zina uwezo WA kuzalisha! Kuanzia 200watts na kuendelea had zaidi ya 50kw
Nikihitaji ya 2kw bei gani? Bila pump wala garama za kuchimba kisima. Yani nahtaji garama za windmill installation pekeake.
 
Nitafute kwenye cm mkuu nimeweka no zangu hapa!
Sikui kwanini mnapenda hii tabia...nikishaona hivi wala sishughuliki nayo maana niliuliza ukanijibu hivi hivi nikapotezea japo sijapata huduma hiyo.
 
Sikui kwanini mnapenda hii tabia...nikishaona hivi wala sishughuliki nayo maana niliuliza ukanijibu hivi hivi nikapotezea japo sijapata huduma hiyo.
Mkuu nadhani kama una nia kweli ya kupata huduma hii hutaona shida kunitafuta. Mbona wengi wananitafuta na tunafanya biashara vzr.
 
Bei zna tofautiana kulingana na inapotakiwa kufungwa kama ni kisima au mto. Kama ni kisima pia urefu unafanya bei ziwe tofauti. Kwa kifup bei ina anzia 1.5mill.
Eneo la Kiwangwa, Bagamoyo kuna upepo wa kutosha? Nataka kuchimba bwawa la samaki nifunge hiyo pamp
 
Ntaanza kulitafiti eneo la huku, kama linafaa ntafikiria uwekezaji wa samaki.
 
Hii thread ni zuri sana, hasa kwa wale wanaopenda kilimo cha umwagiliagi. 😊😊
 
Back
Top Bottom