Sawa mkuu
Tunapatkana Dar, Magomeni Kawawa road Moroko hotel. Pamp ina tumia upepo kwa hyo water storeg (tank) lazma uwe nalo. Labda kama ni kilimo cha mpunga huto hitaji tank.tuambie uko wapi, bei ya hizo pump, kama kuna pump ndogo au ni kubwa tu kama hiyo, je ukiwa nayo haina haja ya kuwa na tank la kuhifadhi maji n,k
Sehemu ambayo hakuna upepo wa kutosha itafanya kazi,Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
Mkuu bei hii ni ndgo sana. Ukilinganisha na bei za windmill za kuagiza ughaibuni. HiyKingine 1.5mil mbona bei ipo juu wakati wakulima wengi vipato vyao ni vya chini, jaribu kufanya price iwe affordable kwa watu wengi,mtateka soko watu watasahau water pump za petrol na dizeli.
Sasa mkuu kama nina mradi mkubwa na ninahitaji pump kubwa inawezekana kupata pump yenye uwezo kwa lita 5,000 kwa dakika au inayokaribiana karibiana na hapo??Pump inafanya kazi hata kwenye upepo mdogo sana minmum wind speed ni 2m/s kiasi hiki cha upepo kina patkana mahali popote.
Inawezekana hapo hauta hitaji mtambo mmoja ila tank linaweza kua moja!Sasa mkuu kama nina mradi mkubwa na ninahitaji pump kubwa inawezekana kupata pump yenye uwezo kwa lita 5,000 kwa dakika au inayokaribiana karibiana na hapo??
Vipi kuhusu bei zake
Ok,survey bado haijafanyika.Visima pia tunachimba! je umesha fanya survey ya maji? Maana gharama zinatofautiana kulingana na urefu wa kisima