Morogoro,kiegeaNi maeneo gani mkuu nijue kadili ya uzoefu wangu!
na vipi uimara wake?kwamtu wa mikoani km tabora anawezaje ata hiyo huduma?Mkuu ina weza vuta maji hadi mit 150. Kwenye kisima. Fut 40 ni mita 12.
hujamalizia kujibuNi imara sana inahitaji servic baada ya miez 6 kwa kuweka vilainishi kwenye bearing nk.
Hiyo ni bei ya chini sana ukilinganisha na bei za windmill za kuimport. Ndio màana tumebuni windmill za bei rahisi zinazo endana na mazngira yetu. Tazama Youtube (Tz windill water pump) windmill zetu wa tanzania hakuna kitu spea znazo toka nje mkuu.bei haipungui? coz wakulima weng tumechoka hatutaweza kuafford
Windmill moja inaweza kuvuta maji na juhudumia shamba lenye ukubwa gani let say kimepandwa vitunguu.Hiyo ni bei ya chini sana ukilinganisha na bei za windmill za kuimport. Ndio màana tumebuni windmill za bei rahisi zinazo endana na mazngira yetu. Tazama Youtube (Tz windill water pump) windmill zetu wa tanzania hakuna kitu spea znazo toka nje mkuu.
Mkuu sina utaalam wa kilimo kua ekar moja inahitaji maji kiasi gani. Ila ni kwamba endapo windmill inavuta maji kwenye mto au bwawa na sehemu yenyewe ikiwa ni tambaral itaweza vuna mji Lita 48,000/hr kwa upepo wenye kasi ya 10m/s kama upepo huu utakua ni mfululizo kwa saa zima.Windmill moja inaweza kuvuta maji na juhudumia shamba lenye ukubwa gani let say kimepandwa vitunguu.
Mkuu, kumbe wewe ni jirani yangu. Mimi nipo kiegea A.Morogoro,kiegea
akisante kwa ukomboziKarbu sana wdau kwa maswali, mawazo nk,!