Windmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki

Windmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki

Safi sana mkuu hapa umenifungua sana ngoja nipige simu Mpwapwa niulize shamba
 
akisante kwa ukombozi
Mkuu ifike muda tutambue kufanya uwekezaji usio na ghara ma za Mara kwa mara. Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji au ufugaji wa Samaki kwa kutumia mafuta kamwe mradi hauta weza kudumu kwa muda mrefu.
 
Iko poa ngoja tujipange. Nina ndoto ya kufanya intensive fish farming ila changamoto yangu ilikuwa Umeme usioaminika kwa ajili ya kubadili maji na kuendesha aerators. Thanx a lot.
 
Iko poa ngoja tujipange. Nina ndoto ya kufanya intensive fish farming ila changamoto yangu ilikuwa Umeme usioaminika kwa ajili ya kubadili maji na kuendesha aerators. Thanx a lot.
Yah mkuu utakua poa ukisha jipanga nitafute uanze kunufaika na matunda ya upepo wa mungu!
 
Safi sana mkuu umenipa mwanga jinsi gani nitafanikisha ndoto zangu maana tayari nina shamba maeneo ya bagamoyo ila nimeshindwa kuendelea kwasababu ya upatikanaji wa maji ya huhakika nitakutafuta ngoja nijipange asante sana kiongozi
 
Karibu sana mkuu ntashukuru endapo utanitafuta tufanye maendeleo ya kweli!
 
Tunashukuru kwa taarifa, je kuna sehemu yoyote uliyofunga huo mtambo ili tuje tuuone kama mfano? Au hapo ofisini kwako upo wa mfano?
 
Tunashukuru kwa taarifa, je kuna sehemu yoyote uliyofunga huo mtambo ili tuje tuuone kama mfano? Au hapo ofisini kwako upo wa mfano?
Ndio mkuu kuna sehemu nimeifunga hiyo mitambo na Wateja wangu wameshaanza kufaidikanayo. Pia hata kwenye YouTube mitambo yangu waweza kuiona pia kwa jina la Tz windmill water pump. Karibu sana
 
Mkuu sina utaalam wa kilimo kua ekar moja inahitaji maji kiasi gani. Ila ni kwamba endapo windmill inavuta maji kwenye mto au bwawa na sehemu yenyewe ikiwa ni tambaral itaweza vuna mji Lita 48,000/hr kwa upepo wenye kasi ya 10m/s kama upepo huu utakua ni mfululizo kwa saa zima.

VISIMA
Kwa visima vyenye urefu kuanzia mita 10 hadi mita 40 Inavuna maji lita 12,000/hr kwa kiwango cha upepo kilicho tajwa hapo juu.

Kwa visima vyenye urefu Wa mita 40 hadi 80m inavuna maji Lita 6,000/hr kwa upepo huo huo.

Kwa vsima vyenye urefu wa mita 80--150 ina vuna maji Lita 3,000/hr.

Hizi data ni za upepo wa kiwngo cha juu na endapo unaweza kuvuma kwa saa moja mfululizo.

Kwa hiyo mkuu mpaka hapo waweza tafuta wataalam wa kilimo wanajua ekar moja ya vtunguu inatumia maji Lita ngapi.
Asante
Nipo mbali kidogo ila shamba langu lipo Morogoro jirani na Mikese...sijafanya survey ya maji yanapopatikana.Je,survey ya maji mnafanya ninyi au inakuwaje.

Vip kwa gharama za kuchimba kisima kwa Mita 40,80 na 150.Nataka nijue hizo zote ili nijiandae kwa gharama iwapo itaangukia katika hizo nijiandae kwa gharama zozote.

Na kabla ya kuchimba unaweza kufahamu maji yanapatikana umbali gani.

Gharama za service zipo vipi na inachukua mda gani kufanya service.
 
Jaribuni ku standardize hizo bei siunaona mcc ndo kama vile...

Hahaaa mkuu tutapata za China hazina masimango!
1459539736845.jpg
 
6e9e6a715aabe92b6abc3f3ab0f7a6d7.jpg
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950

Inavuta kutoka wap sasa mkuu?
 
Kingine 1.5mil mbona bei ipo juu wakati wakulima wengi vipato vyao ni vya chini, jaribu kufanya price iwe affordable kwa watu wengi,mtateka soko watu watasahau water pump za petrol na dizeli.
Bei poa kabisa hiyo, wewe unadhani ni miti hiyo?
 
Back
Top Bottom