Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
NimeInstall Xp lakini siyo Ginuwine,Nimejaribu kudownload labda keygens za aina tofauti tofaoti nimekosa kabisa na zingine hazikubali.Je wataalamu mnaweza nielekeza wapi ntapata XP loader nijikwamue kwenye hili tatizo?