Wimbo wa Zitto Kabwe wema kwa ubaya

Wimbo wa Zitto Kabwe wema kwa ubaya

Tky

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
439
Reaction score
140
Wanajukwa kuna wimbo mpya utazinduliwa hivi karibuni umeibwa na msanii anaitwa linex unajulikana kwa jina la wema kwa ubaya, linex katungiwa na Zitto Kabwe, hatujui kwa nini wameamua kuupa jina la wema kwa ubaya.
Source radio ya CCM clouds FM kipindi anacho tangaza mdada wanamwita diva kama saijakosea.
 
Diva alilambwa studio mpaka ikawa Noma ......Muulizeni Mark Bichachi ......mkuu wa IT clouds ......
 
Huyo anatapatapa tu,siasa imemshinda kaamua kukimbilia bongo fleva
 
Yule ndoa ilomshinda alitoa wimbo Siku chache .sasa huyu nae sijui siasa imemshinda!
Au linex anatafutia kick .
 
kipi hakijulikani hapo? Cdm imemlipa zito ubaya baada ya kuifanyia wema
 
Hii ni aibu kuu!! Mwanasiasa uliekuwa moto, leo unaenda kutunga nyimbo tena za mipasho!!?? Mwanasiasa uliekuwa ukisimama kuongea Taifa linasimama!? Leo umekimbilia Bongo fleva!? Ama kweli Dunia tambara bovu!!!

Taratiiibu umeanza kuudhihirishia umma kuwa ni kweli ulikuwa unabebwa na chama chako, sasa chama kimekubinua, nduki mbaya kwenye mipasho!! Alafu watu wanasema Zitto kichwa!! Labda cha Mchwa!!
 
Hapo anatubu baada ya kulipa ubaya kwa chama chake dhima ya wema wote iliyomfanyia mpaka akawa anajulikana.
Zitto aache tungo,aombe msamaha hadharani na watanzania tutamsamehe ila hatutamsahau
 
ZZK ni nyota iliyoaminika ikachanua na sasa anazimika baada ya kujiaminisha kuwa nguvu ya CDM ilitokana na yeye.
Akiwa CDM alikuwa na kazi nyingi za kufanya kwa ajili ya Nchi. Sasa napata hata muda kutunga na kupanga mistari
ya Bongo Fleva. Pole dogo, huo ndio ujira wa CCM ukishashindwa kitimiza walichokutuma!!!!! Hati,aye utasikia ZZK ni
Jaji Dance Mia Mia!!!!!!
 
ZZK ni nyota iliyoaminika ikachanua na sasa anazimika baada ya kujiaminisha kuwa nguvu ya CDM ilitokana na yeye.
Akiwa CDM alikuwa na kazi nyingi za kufanya kwa ajili ya Nchi. Sasa napata hata muda kutunga na kupanga mistari
ya Bongo Fleva. Pole dogo, huo ndio ujira wa CCM ukishashindwa kitimiza walichokutuma!!!!! Hati,aye utasikia ZZK ni
Jaji Dance Mia Mia!!!!!!

Ha Hahahaahahaaaaa Unanikumbusha kisa cha Mwanapunda aliyembeba Yesu!
 
Wahenga walisema ngoma ikilia sana mwishoe hupasuka
 
Zitto nadhani uko poa ila umearibu taswira yako kwa vijana wengi na wazee uling'ara sana ukapendwa ukisimama Taifa kimya sasa wapi umebaki kurusha mishale na kuangalia hali ya hewa. Uwezo wako bado ni mzuri kama utajitasmini kwa kina nini unataka kufanya kwa watanzania. Kaka Zitto pia kisasi ni juu ya Mungu mwenye maandiko yanasema hivyo come back to CHADEMA.
 
ili nyimbo yake ikiki angeimba taarabu na mzee yusuph
 
Back
Top Bottom