Wimbo wa Taifa

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini? Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hazitoshi kutolea shutting? Hilo Nalo Ni JIPU!!! AU , UNAYO VIDEO YAKE! Unitumie,!
 
Back
Top Bottom