nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
Mleta thread ame-assume kwamba wasomaji wana ufahamu juu ya huo wimbo ie mwimbaji na maudhui nk.Assumption hiyo inaharibu kabisa uzito wa thread. Mleta thread hajanitendea mimi msomaji haki.Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana,
Kwanini tuwauwe watoto wetu wakiwa tumboni? Hatujui watakuja kuwa kina nani hapa duniani, wengi wetu tunadhani mtoto akiwa tumboni hahisi maumivu yoyote, laaa anahisi maumivu sana tu lakini uwezo wa kusema ndio hana,
Dada zangu, kaka zangu, ndugu zangu kwa pamoja tupinge kabisa suala hili la kutoa mimba,
kuna situation ambazo ni bora kutoa kuliko kuzaa!
Mleta thread ame-assume kwamba wasomaji wana ufahamu juu ya huo wimbo ie mwimbaji na maudhui nk.Assumption hiyo inaharibu kabisa uzito wa thread. Mleta thread hajanitendea mimi msomaji haki.
Hupo sahihi kiongozi,mtoto anatambulika tumboni tangia wiki nane
Vifaa vya kutolea mimba vipo mahospitalini ili ikitokea mtoto atazaliwa na complication basi atolewe
weka huo wimbo,wengine hatuufahamu so tunakosa cha kuchangia kupitia maudhui ya wimbo huo
Hakuna ubora wenye kuhalalisha kuuwa ndugu yangu, Hivi hizo situation zingewafikia wazazi wako Leo ungekuwa wapi? Au ni bora kwa sababu unapumua?
Kuna mauaji ambayo watu wanayafanya bila hata kufikiri kuwa wanafanya mauaji na wanadhambi ya kuuwa. Mfano mwengine watu wenye kuwapiga wezi hadi kuuwa,sidhani kama wanapofanya vile mtu anakumbuka kuwa mie nimeua.
nchelegwanzingi,hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread yako kwa sababu umeanza thread yako kwa maneno niliyobold.Hayo maneno yanafaa kutumiwa kwa mtu anayeufahamu huo wimbo.Kwa kuwa mimi siufahamu thread yako haina maana yoyote kwangu, ndo maana nikasema hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread.Ningekuwa mimi ndo wewe, ningeanza na maneno ya wimbo huo kwenye ubeti unaohusika.Bila shaka sasa umenielewa ndugu au?Unaweza kunielewesha sijakuelewa ndugu yangu, haki ipi sijakutendea?
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana,
Kwanini tuwauwe watoto wetu wakiwa tumboni? Hatujui watakuja kuwa kina nani hapa duniani, wengi wetu tunadhani mtoto akiwa tumboni hahisi maumivu yoyote, laaa anahisi maumivu sana tu lakini uwezo wa kusema ndio hana,
Dada zangu, kaka zangu, ndugu zangu kwa pamoja tupinge kabisa suala hili la kutoa mimba,
nchelegwanzingi,hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread yako kwa sababu umeanza thread yako kwa maneno niliyobold.Hayo maneno yanafaa kutumiwa kwa mtu anayeufahamu huo wimbo.Kwa kuwa mimi siufahamu thread yako haina maana yoyote kwangu, ndo maana nikasema hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread.Ningekuwa mimi ndo wewe, ningeanza na maneno ya wimbo huo kwenye ubeti unaohusika.Bila shaka sasa umenielewa ndugu au?Unaweza kunielewesha sijakuelewa ndugu yangu, haki ipi sijakutendea?
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu,
Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana,
Kwanini tuwauwe watoto wetu wakiwa tumboni? Hatujui watakuja kuwa kina nani hapa duniani, wengi wetu tunadhani mtoto akiwa tumboni hahisi maumivu yoyote, laaa anahisi maumivu sana tu lakini uwezo wa kusema ndio hana,
Dada zangu, kaka zangu, ndugu zangu kwa pamoja tupinge kabisa suala hili la kutoa mimba,
nchelegwanzingi,hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread yako kwa sababu umeanza thread yako kwa maneno niliyobold.Hayo maneno yanafaa kutumiwa kwa mtu anayeufahamu huo wimbo.Kwa kuwa mimi siufahamu thread yako haina maana yoyote kwangu, ndo maana nikasema hujanitendea haki mimi kama msomaji wa thread.Ningekuwa mimi ndo wewe, ningeanza na maneno ya wimbo huo kwenye ubeti unaohusika.Bila shaka sasa umenielewa ndugu au?