wimbo wa nani huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wimbo wa nani huu?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by JAYJAY, Feb 24, 2012.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,486
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  kuna wimbo wa zamani umeimbwa na mwanamama akiimba '' sugar daddy sugar daddy...heri kufa masikini kuliko kusimangiwa heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu ee, tamaa iliuwa fisi...umasikini si kilema, matatizo ya dunia, leo kwangu kesho kwako...'' nimeshausikia mara kadhaa lakini watangazaji wa redio hawataji hata majina ya muimbaji, sijui kwa nini!?
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Lady isa
   
 3. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,486
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  kweli ndugu! nimechungulia youtube kwa jina hilo nimekuta nyimbo zake kadhaa! akhsante!
   
Loading...