Sugar Dadi

Sugar Dadi

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
766
Reaction score
725
sugar dady, Sugar dady. Sugar daady........
Unihurumie baba yangu ehee. .....
Umasiki si kilema, ni matatizo ya dunia...
Leo kwangu,kwesho kwako....
Kheri kufa masikini. kuliko kusimangiwa......
Kheri kufa masikini. Kuliko kusimangiwa na walimwengu
Tamaa iliua fisi.

Wale wakongwe kama mimi naomba tukumbushane hiki kibao/wimbo aliimba nani maana nimeutafuta usiku kucha mtandaoni nimeukosa ama kama kuna mtu anao uwezo wa kuupata afanye kuutumia humu kama Audio.
Good Morning .....
 
LADY ISSA
 
Yamekusibu yapi tena mkuu? Yaelekea umeandika wimbo huu kwa hisia kali sana
 
Wala hakuna kilichonisibu. Ila tu nimeikumbuka ile sauti ya yule dada olivyo kama ya kinanda, mashairi mazuri na mziki ni mzuri pia... Yangenisibu ningeshare maana sehem pekee ya kutolea upweke/machungu/dukuduku na stress zote ni hapa jukwani JF.
 
Upo sahihi kabisa mkuu, na miziki ya zamani ni kama dhahabu watunzi wake walikua wanaeleza uhalisia wa kinachotokea kwenye maisha

Congo alikuwepo huyo Lady Issa, Tshala Muana, Mbilia Bell na wengineo. Ujumbe mzuri na sauti zao nyoroooro kabisa za kumtoa nyoka pangoni🤣🤣🤣
 
Huu msamiati miaka hii umepotea kabisa HAKUNA SUGAR DADDY. Watu wanabanjuka tu
 
😀 😀 😀. Kweli kabisa walikia wapo vizur sana kwenye ubunifu wa mziki
 
Upo sahihi kabisa mkuu, na miziki ya zamani ni kama dhahabu watunzi wake walikua wanaeleza uhalisia wa kinachotokea kwenye maisha

Congo alikuwepo huyo Lady Issa, Tshala Muana, Mbilia Bell na wengineo. Ujumbe mzuri na sauti zao nyoroooro kabisa za kumtoa nyoka pangoni🤣🤣🤣
 
Huu msamiati miaka hii umepotea kabisa HAKUNA SUGAR DADDY. Watu wanabanjuka tu

Watu kila siku wanapeana radhi tu, mababa wanawavulia nguo watoto, wamama wanawavulia nguo watoto full radhi ndio maana jamii imelaanika kudadeki..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom