Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Mkuu hiyo nyimbo uliyonitumia kwenye email ina virus au ni macho yangu tu.........manake 21.3 Mb halafu inakataa kudownload
Pole sana. Hamna virus. Mie kwangu unapiga vizuri tu bila matatizo.
Wimbo ni mrefu kidogo na kwa quality hii, lazima uwe mkubwa. Basi chukua tu aliokurushia jamaa. Wengine hawana tatizo na quality ya muziki. Ila wengine ni tatizo kubwa. Ila usiwe na wasiwasi, hauna virus.
Mafumu Bilali - Maya, Duration: 00:08:46, Bit Rate: 320kbps