Wimbo wa Maya by Mafumu Bilali

Mkuu kama unataka kuufarahia wimbo huo ni vema uusikilize wenyewe, uliotungwa na Lutumba ndomanueno Simaro, wenye ndio umepigwa katika uhalisia achana na copy ya mafumu ambayo hata anajaribu kuharibu kiswahili
 
Wimbo wenyewe aliotunga Simaro Lutumba na kuimbwa na Carlito Lassa ni huu hapa chini. Huwa unanikumbusha mwaka 1986 kila jumapili saa mchana kulikuwa na kipindi cha mziki na mtangazaji naona alikuwa akiupenda sana maana ulikuwa lazima upigwe.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related[/ame]

Baadaye Marehemu Pepe Kalle alikuwa akauimba tena kwa kushirikiana na Carlito Lassa ambaye siku hizi kawa muimba nyimbo za dini. Wakafyatua Maya nyingine ambayo nayo ni poa sana.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=bWztqJIQXaE[/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related"][/ame]

Sijui huo wa Bilali ukoje. Itabidi nijitahidi niutafute. Huu wimbo wa Maya, nilisota sana kuutafuta. Ila siku hizi CD yake inapatikana kiurahisi kwenye Internet na hawa waweza kununua nyimbo zake.
 
Wimbo wenyewe aliotunga Simaro Lutumba na kuimbwa na Carlito Lassa ni huu hapa chini. Huwa unanikumbusha mwaka 1986 kila jumapili saa mchana kulikuwa na kipindi cha mziki na mtangazaji naona alikuwa akiupenda sana maana ulikuwa lazima upigwe.
http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related

Baadaye Marehemu Pepe Kalle alikuwa akauimba tena kwa kushirikiana na Carlito Lassa ambaye siku hizi kawa muimba nyimbo za dini. Wakafyatua Maya nyingine ambayo nayo ni poa sana.

http://www.youtube.com/watch?v=bWztqJIQXaE

Sijui huo wa Bilali ukoje. Itabidi nijitahidi niutafute. Huu wimbo wa Maya, nilisota sana kuutafuta. Ila siku hizi CD yake inapatikana kiurahisi kwenye Internet na hawa waweza kununua nyimbo zake.
now ur talking sio kule kushika mkia wa mwakalinga.....
 
Mkuu kama unataka kuufarahia wimbo huo ni vema uusikilize wenyewe, uliotungwa na Lutumba ndomanueno Simaro, wenye ndio umepigwa katika uhalisia achana na copy ya mafumu ambayo hata anajaribu kuharibu kiswahili

Poa mkuu nimekupata.......nilikuwa sijui kama ni copy! Nimesikiliza kibao hicho orijino cha Lutumba kimetulia kiaina. Nafikiri Mafumu alipoingiza kiswahili ndio kabadilisha na kuongeza chachu kiaina. Kama una copy ya Mafumu iweke mkuu
 
Wimbo wenyewe aliotunga Simaro Lutumba na kuimbwa na Carlito Lassa ni huu hapa chini. Huwa unanikumbusha mwaka 1986 kila jumapili saa mchana kulikuwa na kipindi cha mziki na mtangazaji naona alikuwa akiupenda sana maana ulikuwa lazima upigwe.
http://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related

Baadaye Marehemu Pepe Kalle alikuwa akauimba tena kwa kushirikiana na Carlito Lassa ambaye siku hizi kawa muimba nyimbo za dini. Wakafyatua Maya nyingine ambayo nayo ni poa sana.

http://www.youtube.com/watch?v=bWztqJIQXaEhttp://www.youtube.com/watch?v=e9cKkBGleGE&feature=related

Sijui huo wa Bilali ukoje. Itabidi nijitahidi niutafute. Huu wimbo wa Maya, nilisota sana kuutafuta. Ila siku hizi CD yake inapatikana kiurahisi kwenye Internet na hawa waweza kununua nyimbo zake.

Mkuu nimeusikia huo wa Lutumba....ila kama utaupata wa Mafumu uweke jamvini pia manake nao umetulia
 
Poa mkuu, ila hiyo website bom nilishajaribu tangu asubuhi kufungua hakuna hata wimbo mmoja uliopiga.

Inawezekana huna hizi program za JAVA. Mie imepiga bila matatizo. Wasiliana na Invisible anaweza kukuelekeza maana mie uwezo wangu si mkubwa kiasi hicho.
 
now ur talking sio kule kushika mkia wa mwakalinga.....

Laiti ungelifahamu Sikonge ni nani!!!!

Mwakalinga yuko UK, na mie nipo Sikonge. Sasa huo Mkia niukamate wapi?

Halafu hii umeiwazawaza vipi hadi ikakuingia kichwani kuwa "binadamu ana MUKIA?". Shemeji yangu, isije kuwa WAMSALITI dada yetu na KITOWEO unachofuga nyumbani. Ni kipi hicho, Kondoo, Mbuzi, ng'ombe, bata ......

Aibu aibu mweeeee!!!!!!!! Baba mzima kuwaza mikia. YUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!
 
Poa mkuu, ila hiyo website bom nilishajaribu tangu asubuhi kufungua hakuna hata wimbo mmoja uliopiga.

Nimeuvuta kwa kupitia real player.

Kama una EMAIL basi nitumie nikurushie sasa hivi. Hii program ya real player kama huna ni kuwa zinapatikana kwenye mtandao za bure na za kununua. I hope utakuwa nayo.
 
Mkuu endelea kusubiri ndio na malizia ku-upload.si unajua speed ya mitandao yetu ya kibongo wimbo wenyewe una 8.5 MB.

Poa mkuu nitaikuta kesho asubuhi, si unajua tena sisi wakazi wa Mbagala usafiri wetu ulivyo mkuu...! tehe tehe...
 
Dah! hapa nilipo kijasho chembamba kina nitoka.nimejaribu ku-upload kupitia JF imenikatalia.imenibidi kufungua A/C mediafire,nimefanikiwa ku-upload mkuu.uchukue kwenye hii link hapa.http://www.mediafire.com/download.php?oo04tk5yeny
Click start download ili kuupakua alafu subiria kidogo utafunguka then save sehemu unayotaka ukae.....mkuu ukifanikiwa usisahau kibonyeza sehemu ya Thanks! hapo chini.
 
Mkuu nimeipata nashukuru sana.......naona hapa burudani ya kiutu-uzima imetulia
 
Wakuu tuendeleze burudani....mwenye kibao tulizaliwa sote please akimwage ukumbini
 
Nimeuvuta kwa kupitia real player.

Kama una EMAIL basi nitumie nikurushie sasa hivi. Hii program ya real player kama huna ni kuwa zinapatikana kwenye mtandao za bure na za kununua. I hope utakuwa nayo.

Mkuu hiyo nyimbo uliyonitumia kwenye email ina virus au ni macho yangu tu.........manake 21.3 Mb halafu inakataa kudownload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom