Wimbo wa malela Namtafuta malela

Wimbo wa malela Namtafuta malela

Hahaaa zipo nyingi kama!!
Mama jeny
Zainazaina
Shumbwela mashushushuu
Chiku woiwoi mama yooo
Nunu nunu unamnunianani nunuuu!!
Zimbabwe wanapenda kuchuya!!
Bara bara ya taifa reli yeetuu kuu ya uhuruu!!
Baba ziko nyingi sana yaani ziko chenger za kufa mtu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
toa albam mkuu zinatosha
 
Jeshi zuri sana ukitaka kuona uzuri wake ufungue moyo uchungu ukuingie!!
 
Haaa eti album baba we unataka waniuwe huku kuna chenger zingine ukiimba uraiani kisutu patakugusu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
toa
Haaa eti album baba we unataka waniuwe huku kuna chenger zingine ukiimba uraiani kisutu patakugusu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
albam tutakuunga mkono wadau nitakusupport video ila usisahau ule wimbo unasema 'usiniseme usiniseme shori wangu,usinisemex2usiniseme baby wangu....na beeri beri mia 5 beri beri mia 5
 
Kuna wimbo mwingine huko JKT ulikuwa na maneno haya:
Malela malela malela (Kiitikio: Kumbakumbaku).
Malela, malela, malela, malela, malela, malela, malela (Kumbakumbaku!).
 
Hahaaa zipo nyingi kama!!
Mama jeny
Zainazaina
Shumbwela mashushushuu
Chiku woiwoi mama yooo
Nunu nunu unamnunianani nunuuu!!
Zimbabwe wanapenda kuchuya!!
Bara bara ya taifa reli yeetuu kuu ya uhuruu!!
Baba ziko nyingi sana yaani ziko chenger za kufa mtu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaa zipo nyingi kama!!
Mama jeny
Zainazaina
Shumbwela mashushushuu
Chiku woiwoi mama yooo
Nunu nunu unamnunianani nunuuu!!
Zimbabwe wanapenda kuchuya!!
Bara bara ya taifa reli yeetuu kuu ya uhuruu!!
Baba ziko nyingi sana yaani ziko chenger za kufa mtu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
mama jeniii mama,,mama jeni
oooh mama jeni,,,mama jeni
ntarudi mamaa,,,,,mama jeni
oooh mama jeni,, mama jeni mama,,
nipo depo mama,,mama jeni
nivumilie mama,,oooh mama jeni
 
Back
Top Bottom