Wimbo wa malaika

Ndoa

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
1,033
253
Nimemsikia mtangazaji wa Channel Ten kwenye taarifa ya habari ya saa moja usiku, akisema, 'Wanafunzi wa Kijapani waliimba wimbo maarufu wa NAKUPENDA MALAIKA ulioimbwa na Fadhili William wa Tanzania'. Hivi wadau wa muziki wa zamani, huyu Fadhili william hakuwa Mkenya kweli?
 
Nakumbuka kama mmiliki halali wa huu wimbo hajulikani kutokana na kuimbwa na watu wengi, ambapo mfano ushawahi kutolewa bungeni
 
originaly ya huu wimbo ni tanzania tena mwimbaji jina lake linakuja kichwani kwangu linakata.
 
Back
Top Bottom