Wimbo wa Diamond Zuwena ni wa kawaida sana

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,118
11,848
Huu wimbo ni wa kawaida sana, ni vile tu umeimbwa na Diamond.

Diamond anajua, ila kwa huu wimbo hapana.
 
Ni ukweli ambao mashabiki wake hawautaki nyimbo mbovu sana tena sana tena kwa msanii mkubwa kma yeye watabisha ila naona diamond anajitafuta upya
 
Uko sahihi boss,hata mm najiuliza mbona wimbo wakawaida sana kumbe siko pekeyangu aisee akili yangu imegoma kuingia mkumbo wakuaminishwa wimbi eti ni mzuri kumbe niwakaida tu tena hakuna kitu.
 
Iko siku mtajua Diamond Platinumz ni Mzalendo sana kwa Taifa hili.

Narudia tena, iko siku mtajua Diamond ni kijana mzalendo wa Kitanzania..
 
Huu wimbo ni wa kawaida sana, ni vile tu umeimbwa na Diamond.

Diamond anajua, ila kwa huu wimbo hapana.
Niliposikiliza au kuangalia nyimbo za Diamond hata yeye alipohojiwa anatoa nyimbo kwa vipengele hivi
1. Anatoa nyimbo kwa soko la Tanzania, kenya, Uganda (East Africa). Utakutana na nyimbo kama hii ya Zuwena na jeje Hizi nyimbo huwezi kuipigia promo kwa nchi zilioendelea
2. Nyimbo kwa soko la Afrika kama nyimbo ya Waa aliyomshirikisha kofii, kuna ile nyimbo anaenda kumchumbia demu wake nigeria, anashuka kwenye ndege anakutana
3. Kwa nchi zilizo nje ya Afrika km vile kuna nyimbo nimeisahau jina, anaimba yupo kama kwenye utando wa buibui, na nyingine wapo km kwenye kibaraza fulani, kuna feni inawapepea. Nimesahau majina yao
Huyu jamaa anapiga hela kwa mtindo huo huku wengine wakiimba kwa soko la Tanzania na kwa East Africa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom